Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Mkuu, suruali moja kanunua kwa Tsh 150k bado unasema "hatununui"? Hivi hizo original ya suruali inatakiwa kuuzwaje!?Mi nadhani ni sisi wenyewe tunapenda ivi vitu maana wsle wauzaji wanaoleta vitu original hatuvinunui kwa madai ya kwamba bei zao ni kubwa ni ivyo tunapenda vya bei ndogo ivyo na wauzaji wanakuwa hawana namns nyingine zaidi ya kuleta vifaa vile vya bei nafuu tuvyoitaji
Fika Mwananyamala A pale kuna jamaa anaitwa Mansuli duka lake linaitwa "GM Mitumba classsic"..
Mzigo wake anachukuliaga Nairobi anavitu vizuri sana kama hizo Cardet mashati makali pia .
You will thank me later .