Bidhaa feki na duni zinatumaliza Watanzania

Bidhaa feki na duni zinatumaliza Watanzania

Mi nadhani ni sisi wenyewe tunapenda ivi vitu maana wsle wauzaji wanaoleta vitu original hatuvinunui kwa madai ya kwamba bei zao ni kubwa ni ivyo tunapenda vya bei ndogo ivyo na wauzaji wanakuwa hawana namns nyingine zaidi ya kuleta vifaa vile vya bei nafuu tuvyoitaji
Mkuu, suruali moja kanunua kwa Tsh 150k bado unasema "hatununui"? Hivi hizo original ya suruali inatakiwa kuuzwaje!?
 
Fika Mwananyamala A pale kuna jamaa anaitwa Mansuli duka lake linaitwa "GM Mitumba classsic"..
Mzigo wake anachukuliaga Nairobi anavitu vizuri sana kama hizo Cardet mashati makali pia .
You will thank me later .
 
Nenda maduka ya Woolworth

Asante.Hao siku za nyuma walikuwa wapo vema, ila kwa sasa mh! Inabidi uwe selective sana, baadhi ya viatu kwa mfano, ila kuna bidhaa bado ni za hovyo tu.
 
Fika Mwananyamala A pale kuna jamaa anaitwa Mansuli duka lake linaitwa "GM Mitumba classsic"..
Mzigo wake anachukuliaga Nairobi anavitu vizuri sana kama hizo Cardet mashati makali pia .
You will thank me later .

Sawa, asante sana.
 
Back
Top Bottom