Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
Ndio nimekuja kuuliza, anitumie bidhaa gani?Bidhaa gani anataka kukutumia? Fafanua.
AsanteKondomu
wanasemaga.... it sounds good to be true 😀 😀Inategemea na huyo mtu ana koneksheni gani huko US.
Rafiki yangu mmoja alikuwa na mtu wake huko walikuwa wanafanya biashara ya kuuza ndege za kivita + makombora na ndani ya mwaka jamaa walikuwa mbali sana.
Mwambie ashushe contena moja la nguo za mitumba grade A hasa kwa wanawake na watoto, halafu unitafute nikuonyeshe mikoa yenye soko.Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mmevurugwaInategemea na huyo mtu ana koneksheni gani huko US.