Bidhaa gani kutoka USA naweza uza hapa Tz?

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
992
Reaction score
472
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
 
Bidhaa gani anataka kukutumia? Fafanua.
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
 
Huyo jamaa yako aliyoko USA hajawahi kuishi Tz?
Kama alishawahi mwambie maisha hayajabadikika sana,mahitaji ya mtanzania ni yaleyale mwanzo mwisho!!
 
Kwa kweli bidhaa zipo nyingi sana.ambazo ukizi pangilia vizuri uta uza sana.. pote ndani na njee ya nchi kwa mfano Pipi.jojo.pencel.pen etc[emoji855]
 
Inategemea na huyo mtu ana koneksheni gani huko US.

Rafiki yangu mmoja alikuwa na mtu wake huko walikuwa wanafanya biashara ya kuuza ndege za kivita + makombora na ndani ya mwaka jamaa walikuwa mbali sana.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Inategemea na huyo mtu ana koneksheni gani huko US.

Rafiki yangu mmoja alikuwa na mtu wake huko walikuwa wanafanya biashara ya kuuza ndege za kivita + makombora na ndani ya mwaka jamaa walikuwa mbali sana.
wanasemaga.... it sounds good to be true 😀 😀
 
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
Mwambie ashushe contena moja la nguo za mitumba grade A hasa kwa wanawake na watoto, halafu unitafute nikuonyeshe mikoa yenye soko.
 
Inategemea na huyo mtu ana koneksheni gani huko US.

Rafiki yangu mmoja alikuwa na mtu wake huko walikuwa wanafanya biashara ya kuuza ndege za kivita + makombora na ndani ya mwaka jamaa walikuwa mbali sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mmevurugwa
 
Bidhaa zifatazo Mkuu
Nguo za mitumba na begi ya mitumba pochi viatu socks

Majeans ya special na mutumba ya bei rahisi
 
Huu ni uvivu wa kufanya field research

Back
Top Bottom