Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

hsnaturalfertility

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2022
Posts
399
Reaction score
992
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,

Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida kabisa anaweza ku afford bila kusubiri tarehe ya mshahara.
Naamini nikiagiza mara mbili nitakuwa nime double mtaji.
Asanteni sana na karibu kwa mawazo🙏
Bidhaa nitaziuza kupitia kafremu kangu na matangazo ya mtandaoni.
 
China wanauza bidhaa mbalimbali zingine unaweza kuzipata k koo ,swali langu je unaitaji ujikite kwenye uzaji wa bidhaa gani,n.k, urembo, mavazi, mashine, phone accessories, car accessories,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…