Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achilia mbali South Africa, ikitoka hapo Zanzibar tuu inalipiwa ushuru kama kawa.
Haujajibu swali mkuu, umbali au ukaribu si hoja, bidhaa Made in SA inatakiwa kulipiwa kodi ama la?
Zanzibar siyo nchi na haipo kwenye umoja SADC-Hujajibu swali!Mkuu nadhani hujanielewa. nimemaanisha hata bidhaa made in Zanzibar inalipiwa kodi sembuse made in SA! kifupi jibu ni inalipiwa kodi.
Zanzibar siyo nchi na haipo kwenye umoja SADC-Hujajibu swali!
Mkuu nadhani hujanielewa. nimemaanisha hata bidhaa made in Zanzibar inalipiwa kodi sembuse made in SA! kifupi jibu ni inalipiwa kodi.
Zanzibar siyo nchi na haipo kwenye umoja SADC-Hujajibu swali!
Hebu mwagika hapa: Nimenunua gari kenya nikilileta Tanzania ina maana sitailipia excise duty?Msichanganye madesa wakuu kodi (VAT)na ushuru (Exercise Duty) ni vitu viwili tofauti kwa uelewa wangu ni vitu toka East African Community tu ndo havilipiwi ushuru ila toka nje ya east Africa inalipiwa ushuru 25% exercise duty,Sina uhakika na SADC wanaojua waje kutujuza
Hebu mwagika hapa: Nimenunua gari kenya nikilileta Tanzania ina maana sitailipia excise duty?
Kuna kitu huwa sielewi,yani hii mikataba mfano SADC naona kama imeweka kuwanufaisha wenzetu tu?sisi tunawauzia nini wao?au ndo hatuna cha kuwauzia!mh
Zanzibar ni NCHI.Zanzibar siyo nchi na haipo kwenye umoja SADC-Hujajibu swali!