Ila Kuna kodi inabidi tu zilipwe mara mbili, no way out, mfano kodi za VATUkinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za mwisho kuunganisha mifumo ya kodi ya Tanzania Bara na Zanzibar ili mtu alipe kodi mara moja pekee.
"Hili jambo likiisha, malalamiko yatasuluhishwa. Ukiwa na risiti halali kutoka ZRA au TRA hautalipishwa kodi mara mbili". Alisema.
Kero ya Muungano namba moja, vipi kuhusu kugawana mapatoJambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za mwisho kuunganisha mifumo ya kodi ya Tanzania Bara na Zanzibar ili mtu alipe kodi mara moja pekee.
Kwa hili kidogo nawapongeza serikali maana ilikuwa ni kero kubwa snUkinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za mwisho kuunganisha mifumo ya kodi ya Tanzania Bara na Zanzibar ili mtu alipe kodi mara moja pekee.
"Hili jambo likiisha, malalamiko yatasuluhishwa. Ukiwa na risiti halali kutoka ZRA au TRA hautalipishwa kodi mara mbili". Alisema.
The Citizen
Zanzibar inahudumiwa na bara kwa kila kituKero ya Muungano namba moja, vipi kuhusu kugawana mapato
Kodi ikikatwa Zanzibar inaishia huko huko, haisaidi uchumi WA bara tofauti na Kodi iliyokatwa dar inaweza kutumika karagwe , hii ndio tofauti Kuu.Hivi ukitoka na bidhaa Dar na kwenda nazo Mologoro au Mwanza au Mbeya au Ntwala au Tanga unalipishwa ? na kote huko kuna bandari aka border.
Zanzibar ilikuwa isiwepo hata check point zaidi ya kuonyesha kitambulisho halisi na ilivyo kila mtu anatakiwa akitembea awe na kitambulisho cha Utaifa
Tupeni ukweli au ndio Zanzibar ni Nchi kamili na mamlaka yake bado kutangazwa rasmi au ndio wanaishi kizagazaga tu ?
Mtoto anaendelea kunyonya mpaka kielewekeZanzibar inahudumiwa na bara kwa kila kitu
watu wataenda kununua bidhaa zanzibar pekee, bara hawatanunua.Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za mwisho kuunganisha mifumo ya kodi ya Tanzania Bara na Zanzibar ili mtu alipe kodi mara moja pekee.
"Hili jambo likiisha, malalamiko yatasuluhishwa. Ukiwa na risiti halali kutoka ZRA au TRA hautalipishwa kodi mara mbili". Alisema.
The Citizen
Watu wamepiga heaabu vyema sana hawajakurupuka. Zanzibar inaenda kuwa centre ya biashara Afrika Mashariki na kati.Zanzibar inaenda kumezwa rasmi,
Same same Israel na palestina, walianza hivi hivi
Wapiii bwashee, watafata kila kitu kariakoo hawa, subiri tu huo mfumo upite rasmiWatu wamepiga heaabu vyema sana hawajakurupuka. Zanzibar inaenda kuwa centre ya biashara Afrika Mashariki na kati.
Mi nakuhakikishia wafanyabiashara wote wa mikoani na nchi za jirani watamiminika Zanzibar kufanya manunuzi ya jumla.Wapiii bwashee, watafata kila kitu kariakoo hawa, subiri tu huo mfumo upite rasmii
Yaani kodi iwe sawa, bara na kule, halafu mbara akanunue kitu zenji?Mi nakuhakikishia wafanyabiashara wote wa mikoani na nchi za jirani watamiminika Zanzibar kufanya manunuzi ya jumla.