bidhaa na supermarket inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
ndani iko na duka la dawa pia.kuna bidha za kila aina kama unavyoona shoprite.hiyo supermarket iko changombe mchicha...bei yake ni $113, 000...maongezi yapo...kwa aliyekua serious na biashara au anajua ana mtu mwenye uwezo wa kuchkua ani pm...asanteni
 
dahl! Wenye hela wananafi nzuri kweli!!
 
Tatizo ni location. Pia alipaswa muuzaji aseme vitu vifuatavyo;
1. Mtaji wa hizo bidhaa ni shs ngapi (Kwa bei ya kununulia)
2. Gharama za vifaa vingine kama fridges, meza, shelves, makabati, cash machines, security cameras , nk.
3. Kiasi cha miezi ya kodi kilichobakia (kama amepanga) na ni shilingi ngapi kwa mwezi.

Hii itasaidia mwenye interest kufanya chaguo kabla hajaanza kuumiza kichwa (huenda akavunjika moyo kwa kupata maelezo nusunusu)
 
Hata huyo dalali mwenyewe aliyeleta tangazo naona hana interest
 
Hata huyo dalali mwenyewe aliyeleta tangazo naona hana interest
mambo ya kujua rent utambiwa kama uko serious na bidhaa zimejaa ndani mule supermarket na pharmacy iko ndani....mkuu.
 
mambo ya kujua rent utambiwa kama uko serious na bidhaa zimejaa ndani mule supermarket na pharmacy iko ndani....mkuu.

Kuna wenye kijaribu na kuna wenye kuamua. Kama mimi kabla sijafanya biashara yoyote ni lazima nimshirikishe mshauri wangu kwenye masuala ya uchumi. Hayo masuali ni ya msingi sana kuyajibu kabla hajanishauri.
 
Pia ukumbuke kuna bidhaa ambazo huwa zina expire na hatujafanya ukaguzi.
 
Kuna wenye kijaribu na kuna wenye kuamua. Kama mimi kabla sijafanya biashara yoyote ni lazima nimshirikishe mshauri wangu kwenye masuala ya uchumi. Hayo masuali ni ya msingi sana kuyajibu kabla hajanishauri.
kweli kabisa mkuu....nmekuelewa kama uko tayari ni pm...utapewa ushirikiano wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…