Bidhaa za China sio feki

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Nimekua nasoma baadhi ya comments na kusikiliza mawazo ya watu mbali mbali hasa wateja wanaonunua bidhaa mbalimbali kwamba vitu vya China ni FEKI

Napenda kasema ya kwamba kwa China unachoomba ndicho unachopata, mfanyabiashara anaenda kununua mzigo kwa bei "chee" hivyo anapata products ambazo sio quality nzuri na best, lakin ukiwa mwenye connection na ukapata machimbo mazuri huko China na ukapata na watu wanaojua where and how to get those quality products basi unaweza pata best products zenye quality nzuri kabisa tena kwa bei nafuu kabisa, na vyote vinakua graded accordingly, mfano Grade A,B,C na n.k.

Kwa miezi kadhaa, nimekua nina deal na wafanyabiashara wanaonunua mzigo kwa jumla, wanachoagiza kutoka China wanapata, best quality, best price! Bidhaa zinazoagizwa sana ni handbags za kike, shoes/raba za kike au high heels, chupi za kike(cotton), saa za kike, vitenge, miwani za kike, body splash, pantiliner/diaper, mitandio, Madera, gauni fupi Kali, Brazilian hairs, perfume za kike..Na nyingine nyingi.

Imagine, nauli kutoka hapa kwenda Kati ya sehem hizi China

Shanghai = 2,232,426 Tsh
Guangzhou = 1,542,696 Tsh
Beijing = 2,453,139 Tsh

Na hapo unafika hupati ulichokusudia kupata,..but you can save the stress kama unakua na mtu ambaye anajua wapi na mahali gani utapata products best quality na zaidi best price and unapata mzigo wako salama wasalmin.

Karibuni!
 
Sawa
 
viatu vya mitumba vinavyotoka china unaweza vaa miaka na miaka ila kuna vingine miezi mitatu tu kwisha kazi,unapata kitu cha ovyo kutokana na ufinyu wa pesa yako.Ila kuna ukweli vitu vingi feki vinatoka China japo si vyote
 
Made in China for USA EU Japan Korea Malaysia ndio sio fake.
Made In China for Afrika is 100pc fake

Mitumba mingi hutokea Marekani na Ulaya
Asia nchi nyingi hatuingiliani size kuanzia viatu hadi nguo
 
Chinese is Chinese tu hakuna bidhaa Original na wala asitokee mpumbavu yeyote akakudanganya kuwa kuna bidhaa original from China... huyo ni Mwizi kabisa tena mkuu. Bidhaa za China ikifanya kazi jaribu kisha nunua hakikisha unauziwa kwa bei ya chini usogeze maisha... Hakuna mchina atakae kuambia anauza kitu original maana yeye alishasema anafanya biashara apate pesa ya kula na sio faida sasa akuuzie original kesho akose kufanya biashara kama Muingereza anayejuta kila uchao? Sisi kwetu home mzee wangu alijaza vitu Made in UK hadi leo nikienda home vinatumika kuanzia Sockets, Plugs,Toster,Table Fan, Bulb Holder Main Switch, Pasi n.k even Vijiko Stainless Steel vya Uk... ni Ukumbusho mkubwa sana nikifika Home.

Kitu angalau cha Mchina wa miaka ile Jiko la mafuta ya taa stovu mbili na lichupa la kugeuza tuliishi nalo sana ila tulikuwa tunalitumia mara chache sana umeme ukikatika.

Nasema Tena huyu Mwizi asiwaibieni Chinese now wanafanya biashara tu hakuna kitu bora kwao.
 
Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]
 
Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]
Ukishamuona mtu anasifia ujua lengo lake ni kuibia watu... so ni wa Kumuwahi asije umiza watu ukiwa na huruma kwa watu hawa utaumizwa au unaweza sabababisha watu wakaumia...
 
Kwa yeyote mwenye kujua soko la saa za bei rahisi China kati ya Yiwu na Guangzhou Lipi ni soko zuri...kuna mtu nilimuagiza Mara mbili lakini hakufanikiwa kupata aina ya saa nilizozihitaji
 
Thinking is big problem in Africa especially Tanzania..very few people know the game ..but most of them thinking capacity is very low..you can even spot them in my thread here with their comments.[emoji2]
NAKUBALIANA NA WEWE KWA ASILIMIA ZOTE

KUNA DHANA IMEJENGEKA MADE IN CHINA ZOTE FAKE
 
Mkuu, asante Ila watu kama hao usiwe unawajibu, watu kama hawa wapo katika jamii zetu tunaishi nao, ni kuwachukulia tu hivyo hivyo na kuwasamehe bure, wamekua affected psychologically na standard living of life surrounding them, chochote wanachokiona they can't think logically, chochote mbele yao ni uwizi na utapeli, hata si ajabu kama ana mke basi huyo mke kila siku atakua anatuhumiwa kua anachepuka nje. Ubongo umeshaathirika.
Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]
 
Asante Kwa kunielewa mkuu
viatu vya mitumba vinavyotoka china unaweza vaa miaka na miaka ila kuna vingine miezi mitatu tu kwisha kazi,unapata kitu cha ovyo kutokana na ufinyu wa pesa yako.Ila kuna ukweli vitu vingi feki vinatoka China japo si vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…