Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

Naona lawama umezigeuza kwenye Kingereza?

Whats so wrong with you my fellow Tanzanians na kitu kinaitwa English?

You motherfvckers make us feel shame kabisa

Katika paragraph yooote hujaona hoja za maana umeona Kingereza kinakutisha mpaka umelalamika....

Aisee,this is ridiculous kabisa

Tuna shida nyingi mno,na Kingereza ni ya kujitakia kabisa!
Why nitishike na Kiengereza chako fake cha kubabaisha? Wewe huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya motherfvcker motherfvcker nyiingi ndo unachojua. Sitishiki na hiki Kiengereza chako kibovu, bali nataka tujikite kwenye mada husika.

Mfano hii comment niliyoi-quote haina hata content yoyote inayohusika na mada husika. Sikushindwa kuileta mada hii kwa Kiengereza ila sikuona pia sababu ya kufanya hivyo.
 
Kuongea kiingereza hakuoneshi kwamba unajua sana nmekupa mifano rahisi tu, kama hata nayo huielewi basi mimi sio kosa langu
Wala usihangaike na huyo jamaa, anjiongelesha kingereza kwasababu ni Mkenya. Yuko hapa kutetea ujinga wa nchi yake.
 
Mbona unalalama sasa?

Na wewe Kingereza chako kiko wapi?Sikioni

Hata cha kudanganya sikioni

Halafu una spend paragraph nzima kulalamikia mtu katumia Kingereza

Pumbavu kabisa yaani,majitu tumeyapeleka shule bado yamo JF kulalamika watu kutumia Kingereza hicho hicho

Yes motherfvcker,cha ajabu nini?

Hutaki kusikia motherfvcker hapa JF....too bad huwezi elekeza wanadamu duniani jinsi ya kuongea wanavyotaka


Quote ni sahihi kabisa kukuchana malalamiko yako ya kusikia English halafu nalalamikia watumiaji wakati tulikupelekea shule kwa zaidi ya miaka 14 halafu still English hujui

Wewe na mawe mna English phobia,mturudishie ada zetu tulizowalipia,hawezekani majitu mazima yenye mvi hadi matakoni tumeyasomesha mpaka Chuo Kikuu ila still yanalia lia na English

Pumbavu zenu kabisa
Kukusoa ndio kulalama?
Yaani niandike Kiengereza kisa wewe tu umeandika Kiengereza? Ili iweje? Mada hapa inahusu Kiengereza? Ujinga uliopitiliza huu.

Nilichokuambia topic hapa haihusu hizo motherfvcker zako unazozitumia. Unakimbilia hizo baada ya kichwani uko mtupu. Jikite kwenye mada husika Mjinga wewe.
 
Nani amekuambia mimi nina mume?

Mimi ni mwanamme nina mwanamke

Mzee analogy yako ni false equivalence unajenga hapa,hakuna kitu kama hicho

This is real business na sio mume na mke,people lives are on the line

Mahindi yako yana sumu hayafai kwa mwanadamu yeyote awe Kenya au Tanzania au Vietnam,hayafai

Akili ya matope in yako unayoamini sumu mwanadamu wa Kenya na Tanzania wote wale sababu hiyo sumu inatoka TZ,what the fvck are you,you dumbest motherfvckers?

Proofs za sumu zipo tangu 2016,bado mnaleta umatako wenu tu

Kafieni huko,mnatetea utawala wa Magufuli na wala sio wananchi wa Tanzania wasio na kosa na mtu,mnataka kuwalisha mahindi yenye sumu na Kenya mpeleke

Vichaa nyie
Kama sumu ipo tokea 2016 kwanini mnashidwa kuweka hadharani na vilelezo vyote dunia ikaona? Inajulikana Corona imebana mapafu ya Kenya kiuchumi na wanatafuta sehemu ya kupumulia.
 
Wala usihangaike na huyo jamaa, anjiongelesha kingereza kwasababu ni Mkenya. Yuko hapa kutetea ujinga wa nchi yake.
Ahsante Mkuu kwa kunifungua, nilikua sijamjua bado. Naona tu anaongea pumba nyiiiingi na motherfvcker zake za kukariri.
 
Kukusoa ndio kulalama?
Yaani niandike Kiengereza kisa wewe tu umeandika Kiengereza? Ili iweje? Mada hapa inahusu Kiengereza? Ujinga uliopitiliza huu.

Nilichokuambia topic hapa haihusu hizo motherfvcker zako unazozitumia. Unakimbilia hizo baada ya kichwani uko mtupu. Jikite kwenye mada husika Mjinga wewe.
huyo jamaa ni mgonjwa wa akili.

aliishakataa kutumia akili yake,utapoteza muda tu hapo.
 
Mahindi yenu yanauzwa hata kwa wale 'mabeberu'? Sikujua bana! Mkishikwa kidogo mnaruka futi kumi mbele, kaa pisi bikra, vipi nyie tulieni mle vitamu, pumbaf!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3577]
Nimekuambia yanauzwa nchi zingine...hao Mabeberu si ndo mabwana zenu mnaowapigia goti kila siku
 
Endeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara.

Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu, angalia kwa makini sana.

Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA, sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege, itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar, sikilizia bei hapo sasa!

Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee.
Du! Noma nilikuwa sijuwi hii. Asante kwa kunifungua. Kumbe wa bongo tunategemewa viwanja vya wenzetu kuingiza mizigo.

Ebu naomba ni fafanulie hapa. Hii imekaje wakati huku tuna viwanja vikubwa vya ndege kama kilimanjaro pamoja na Jk. Nimeshituka hapa mkuu.
 
You are clueless

Sumu ipo tangu 2016,na kesi ipo tangu mwaka huo

EALA ilipitisha sheria ya hiyo sumu,Tanzania pekee yake ilikataa kukubaliana nayo ikatoa sababu eti ipo busy

Now guess what,member state wa EALA wote wameona waanze kuchukua hatua kwa vitendo,kaanza Kenya

Japo Uganda ilipitisha,nae kachukuliwa hatua right up....Uganda will handle this perfectly sababu Museveni ana akili tofauti na mtu wenu

Fata utaratibu wa dunia uweze ku-intergrate otherwise kalale kwako huko

Nafikiri hii issue hata huijui unajiongelea tu kama maiti
Hujaleta ushahidi 2016 nchi gani ilifungua kesi ya sumu kwa EALA.

2016 ni wakati Tanzania iliweka ban on all exports of grains. Bila ushahidi utakuwa unaongeane maneno ya kuokoteza. Rectification haimaanishi unaweza kuuza kitu chini ya kuwango. Sheria ya WTO zinatumika kama hakuna sheria za kikanda. Tena hata haya mahindi yaliyo mipakani, hakuna ushahidi ambo Kenya imetoa.
 
Naona unageuza Watanzania kua Wakenya ghafla

Ni hivi

Wewe upo humu unatetea upumbavu wa serikali,mimi nipo humu kutetea Watanzania

Watanzania na Wakenya wote hawatakiwi kulishwa sumu

Hiyo sumu kuleni nyie wa serikalini na mauzembe yenu!

Waburundi nyie takataka
Muda mwingi umekuwa unatetea maslahi ya Kenya kwenye jukwaa la Kenya hapa JF. Usilazimishe Utanzania, kama unautaka kuwa mtanzania, fuata utaratibu.
 
Wakuu Kwema,

Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc.

Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa Binadamu? Dawa za Meno hata tukiosha kinywa baada ya kutumia dawa hizi bado kuna mabaki tu yatabaki mdomoni. Na pia mafuta ya kupaka tunayotumia vipi usalama wa ngozi wetu? Mafuta yametumia Kemikali gani kutengenezwa?

Kuna Biscuits, Pipi, Juice, Maziwa na vitu vingine vingi tu tunatumia kutoka kwa hawa Jirani zetu, usalama wake ukoje? KIWI nayo ikigusa ngozi zetu haina madhara?

Nadhani umefikia wakati sasa Serikali kuzuia "importation" ya hizi bidhaa mpaka kwanza ichunguze usalama wake. Uchunguzi ufanyike polepole tu hata kwa miaka mitano au zaidi haina haja ya kuharakisha ili matokeo tutakayoyapata based on uchunguzi huo yawe ni matokeo sahihi.
Ni jukumu la Tanzania kuhakikisha bidhaa zote ambazo hazikidhi viwango hazingii Tanzania kutoka popote duniani including Kenya.

Hili linafanyika kupitia vyombo vingi kama ifuatavyo; TBS, TMDA, GCLA (Mkemia Mkuu wa Serikali) TPRI (Tanzania Pesticide Research Institute). Aidha kuna Polisi, TRA, TISS na UHAMIAJI
ambao kwa namna nyingine wanashirikiana katika enforcement na vyombo vya hapo juu.

Taasisi hizi zina ofisi zake kwenye kila entry point iwe Bandari, Airport au mpaka wa barabara. Kama kuna bidhaa mbovu Tanzania kutoka Kenya siyo Serikali ya Kenya ya kulaumiwa bali ni vyombo vyetu nilivyo vitaja.

Kama kuna Watanzania wanapita njia za panya kuleta sub standards goods wa kulaumiwa tena ni sisi wenyewe wananchi.

Wakenya wamekataa kula mahindi yenye sumukuvu, msiwalazimishe, KULENI WENYEWE
 
Hahahaa

Wewe ndio una uzito?

Uzito unaosemea unapimwa na nini?

Birth certificate yangu huijui,passport yangu huijui,etc

Upo hapa unaongelea documents zangu na hujawahi ziona,huna kazi za kufanya umegeuka mganga?

Mataga bwana,kila anaepinga serikali ni Mkenya,oh yeah,na nyie Waburundi,ndio maana linchi lenu la mwisho kwa umasikini duniani mmekimbilia TZ kutuletea fujo tu

Nyie na boss wenu Wahutu wa Burundi...hakunaga cha maana mlishafanya dunia hii

Nimeshasema toka kule mwanzo, wewe sio mtanzania, unataka julikana hivyo lakini sio. Makaratasi sio kitu cha siri Nic.
 
Wakuu Kwema,

Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc.

Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa Binadamu? Dawa za Meno hata tukiosha kinywa baada ya kutumia dawa hizi bado kuna mabaki tu yatabaki mdomoni. Na pia mafuta ya kupaka tunayotumia vipi usalama wa ngozi wetu? Mafuta yametumia Kemikali gani kutengenezwa?

Kuna Biscuits, Pipi, Juice, Maziwa na vitu vingine vingi tu tunatumia kutoka kwa hawa Jirani zetu, usalama wake ukoje? KIWI nayo ikigusa ngozi zetu haina madhara?

Nadhani umefikia wakati sasa Serikali kuzuia "importation" ya hizi bidhaa mpaka kwanza ichunguze usalama wake. Uchunguzi ufanyike polepole tu hata kwa miaka mitano au zaidi haina haja ya kuharakisha ili matokeo tutakayoyapata based on uchunguzi huo yawe ni matokeo sahihi.

Mleta mada,

Serikali ina mamlaka zake kwa ajili ya kudeal na ubora, usalama na ufanisi wa bidhaa mbali mbali zinazoingia nchini na zile zinazotengenezwa hapa nchini. Taasisi hizo ni kama Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu Katika Ukanda wa Kitropiki (TPRI), Baraza la Tiba Asili, etc.

Taasisi hizi bila kujali bidhaa inatoka wapi zimekua zikihakikisha kwamba bidhaa kama dawa, vifaa tiba, chakula, dawa asili na vifaa vya matumizi ya kawaida kama dawa za meno, sabuni, vitana, mikasi, dawa za mbu, vifaa vya ujenzi, vipuri vya magari, magari yenyewe, etc vimekidhi vigezo vyetu tuliojiwekea kama nchi.

Hivyo basi, kuanza kuquestion ubora wa bidhaa kutoka Kenya bila sababu ya msingi (au ipo na hutaki kuisema) ni kuzitukana tasisi zetu hizi kwamba hazifanyi kazi zao kwa umakini.

Nashauri tuwe waangalifu kabla ya kuweka ukiritimba kwenye bidhaa zozote kutoka nchi yoyote kuhakikisha kwamba tuna mbadala wake amabo ni cost effctive yasijetukuta yale ya sukari wakati ule.
 
Nimeshasema toka kule mwanzo, wewe sio mtanzania, unataka julikana hivyo lakini sio. Makaratasi sio kitu cha siri Nic.
Hili jamaa halina linalojua kichwani zaidi ya Motherfvcker. Uelewa wake mdogo Sana lakini analazimisha kuonekana anajua.
 
Hili jamaa halina linalojua kichwani zaidi ya Motherfvcker. Uelewa wake mdogo Sana lakini analazimisha kuonekana anajua.
Nakubaliana na wewe, hawa ni wakenya waliokiabilia Tanzania wakajichanganya na makabila ya kitanzania na kujifanya watanzania.
 
Nimekuambia yanauzwa nchi zingine...hao Mabeberu si ndo mabwana zenu mnaowapigia goti kila siku
Hamna kitu bana, ka kitu ni kibaya ni kibaya ya nini kuficha ukweli. Ata vifaranga vyetu mlivitia moto live mbele ya media tena vikiwa hai alafu mwataka tunyamaze mfanye yenyu tu bila kuongea, haiwezekani mkuu. Nachojua ata hayo maabara yenyu yakifanya kazi ipasavyo hayo mahindi yatapatikana mengi tu yana sumu so msilete za ovyo ati bidhaa zetu mwaziona sio salama kwa utumizi wa binadamu. Bidhaa zenyu zikagueni kwanza kabla hamjauza na pia mkinunua kwa jirani kagua pia ujue ubora wa kitu unachonunua si kuleta lawama zisizokuwa na A wala Z.
✌️
 
Muda si mrefu majibu yatapatikana. Muda huu wazee wa fitna nao wamejifungia huku wakitafakari namna ya kujibu mashambulizi.

Just wait and see! Katika hizi fitna, hakika serikali ya magufuli haijawahi kushindwa. Wako vizuri kweli.
we pray waje na back jab za maaana.hizi vita za uchumi ni vita vya akil sana
 
Back
Top Bottom