kenya nasikia kuna masoko yenye vitu vya mitumba kama viatu,mabegi na mikansa ya kiunoni,ni vizuri mno,kama kuna mdau yuko humu analijua soko hilo anielekeze
Hilo soko linaitwa Gikomba... wenyewe wana tamka hivyo -> Gikombaa... yaani mwishoni wanavuta, unaweza ukadhani ina herufi 'a' hata kama mitatu vile...