MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,777
- 2,040
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.
Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.
Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.