Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
Wew una akili kweli! Badala ya kuilaumu ccm au serikali unailaumu chadema ambayo ikikwlambia uandamane kutetea kura zisibiewe unajificha ndani.. acha mtafunwe Mana hamna akiri kabisa
 
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
Kupanda kwa Bei sisi CHADEMA aituhusu mfumko wa bei na kupanda kwa ghalama za maisha unawahusu Màtaga, WANYONGE,na CCM.
 
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
Wao baadala ya kujijenga kisiasa wanahangaika na Mbowe
 
chadema ni chama cha wachumia tumbo hawajali wananchi kabisa wao sasahivi wanchowaza ni hilo gaidi lkao tuhata hawajui hao raia wakuwaoigia kura wanakula nini stupid chadema wote
 
Wahi Mirembe before it is too late
Sukuma GANG wamevurugwa na laana ya uharibifu walioifanyia nchi, wanapuyanga tu.
Wanajisaulisha kuwa mungu wao maiti, alitesa, kuteka, kupiga risasi na kuua hao wapinzani ili kuifutilia mbali CHADEMA.

Upinzani tuliwachelewesha sana , yajenge sasa nchi na kibibi chao cha kiarabu.
 
na nyie mungu wenu mbowe linajinyea tu lupango huko gaidi
 
CCM walipoiba uchaguzi na kusema wameshinda kwa kishindo kwa kuwaondoa wapinzani waliosema walikua wanawachelewesha kimaendeleo sasa ndio mmeona umuhimu wa wapinzani?
 
chadema ni chama cha wachumia tumbo hawajali wananchi kabisa wao sasahivi wanchowaza ni hilo gaidi lkao tuhata hawajui hao raia wakuwaoigia kura wanakula nini stupid chadema wote
Akili yako haina akili
 
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
K VANT spirit at work
 
Akili yako haina akili
mnaboa sana mbwa nyie yaani mnachojali ni madaraka tu hamjali hata wananchi wanaishije sasa nani awapigie kura halafu mje mseme mmeibiwa kura kumbe hatuwapendi
 
Povu kama lote.. akili zenu MaCCM hazina akili. Si tumekubaliana Chama dola kimefuta upinzani.
Chama maiti kijenge tu nchi, mapovu ya nini sasa. Wapinzani walituchelewesha sana.. pumbavu kabisa kabisa.
 
Leo hii ndiyo watu wanaana kutambua umuhimu wa viongozi wa vyama vya upinzani wawapo ndani ya mabaraza ya uwakilishi. Kwa kuwa huwa ndiyo wakosoaji wakubwa pale mambo yawahusuyo wananchi yanapokwenda hovyo.
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
Hivi sasa ndiyo watu wanatambua umuhimu wa hoja mbadala za wapinzani makini katika mtazamo wa kiuchumi na kijamii. Wakati wa uchafuzi wa 2019 na 2020 watu wengi walifikiri CCM ikihodhi nafasi zote za uwakilishi wa wananchi katika mabaraza lilikuwa ni jambo lenye afya, sasa ndiyo wanatumbua waliingizwa maliwatoni ya jinsi tofauti.
 
chadema ni chama cha wachumia tumbo hawajali wananchi kabisa wao sasahivi wanchowaza ni hilo gaidi lkao tuhata hawajui hao raia wakuwaoigia kura wanakula nini stupid chadema wote
Kwani kwa maoni kutoka kwenye mioyo yenu huko kijani, CHADEMA bado iko hai?
 
Pale Chadema inapokwambia tujitokezeni kudai katiba mupya na Tume hulu ya Uchaguzi, unajikomelea ndani,aafu unaludi eti Chadema wapo kimya ,labda betrii dawni.
 
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
Mlisema CDM wanawachelewesha sana,mkajaza kijani tupu mjengoni na mkashangilia sana na sherehe mkafanya, haya sasa kuleni matunda yenu
 
Subiri CHADEMA wakusemee...
Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana.

Lawama zingine nazielekeza kwa Zitto Zuber Kabwe pamoja na mh. Mbowe featuring na mzee wa ubelgiji mr.Tundu Antipass, mmetuharibia upinzani wenye maslahi kwa taifa mmetuachia upinzani uliolemaa wa covid 19.

Staki kulaumu CCM hata kidogo maana yote haya yamesababishwa na upinzani legelege.
 
Aliyeua upinzani asemehewe bure tu
 
Back
Top Bottom