Bidhaa zapanda bei, wanyonge walia kila kona

Bidhaa zapanda bei, wanyonge walia kila kona

Wafanyabiashara wa ndani wanambip Mama, muda si mrefu wataanza kulia na kusaga meno pale bidhaa za nje zitakaporuhusiwa kuingia kwa fujo ili kupunguza ukali wa maisha yetu.
Na hii ndio namna pekee ya kuwajibu wazalishaji wa ndani kama wao ndio wanapandisha lkn kama ni distributors ndio tatizo, hata tukiruhusu import, bado wataendelea kutupiga. Wapo na huko.
 
Tunaongelea maswala ya msingi wewe unaingiza mambo ya SUKUMA GANG hivi ni lini tutabadilika na kujadili mambo ya msingi na kuwa kitu kimoja au wewe unasema hayo umeshiba
Wapuuzi kama hao ndio wanaifanya JF iwe kama kijiwe
 
Ndio JPM alikuwa akitamani sana kutumia Jeshi. Hujuma za kiuchumi ni konki sana nchi hii. Ni ngumu sana.
 
Pia nauli zimepanda kwa kati ya elfu 6 mpaka 9 ya ile ya mwezi wa kwanza na hakuna taarifa
,sijaona Sumatra wakitoa mkeka wa nauli mpya ,ilaa ukienda vituo vya kukatia ticket ndo kuna mabango ,nilikuwa nasafiri juzi kwenda dar es salaam kutoka mtwara ,najua nauli 23,000/= nimekuta 29,000/=

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kusikiliza wala kufikiria kusikiliza hotuba za mama kwani huwa anazungumzia nini kwenye hizo hotuba zake?
 
Hivi karibuni bidhaa mbalimbali zikiwemo za ujenzi zimepanda karibu kwa asilimia hamsini.Sasa hadi vyakula unga na mchele umeanza kupanda bei kwa kasi,kwenye vyakula tutapatikana wananchi wengi lazima tutakula tu.Serikali ihamke katika kudhibiti mfumuko wa bei hasa kwenye vyakula hali itakuwa mbaya sana
 
Wapinzani walisema itafika kipindi wote tutaongea lugha moja ndo hii sasa,
Kikubwa wananchi tuige ujasiri wa Kenya tusimame pamoja, walau tuipate kwanza katiba mpya.[emoji3064]
 
Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/= tofauti na awali ilikuwa tsh 16000/= mwanza kwa sasa bei ya cement sh 23000/= mara msoma tsh 25,000/= , kagera na kigoma tsh 25000/=!

Nishat mafta petrol lita @1 mwanza tsh 2720/=; shinyanga tsh 2640/= kagera na kigoma 2820/= awali mafta yalitapatikana kwa kila lita tsh 1810/= kwa sasa mambo yamebadilika sukar mafta ya kupikia hvohvo bei ipo juu!

Baadhi ya vijana wamesema kwa sasa ni vigumu sana kuwekeza pesa kwenye ujenzi kwan vifaa vya ujenzi vipo juu na maisha kwa ujumla yamekuwa magumu.

Kwa vile MHESHIMIWA RAISI SAMIA SULUHU HASSAN tunaomba tupia jicho kwenye wizara husika hali ni ngumu huku mitaan jua kali pesa hamna

. NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KAZI IENDELEEE!
Na bado sana. Kazi iendelee!
 
Wanyonge walikuwepo awamu ya tano. Awamu ya sita mama alitamka wazi kuwa atawajaza watu mapene mifukoni mwao hivyo hii ni awamu ya wenye nazo. Acha kudhalilisha watu.
 
Back
Top Bottom