Na hii ndio namna pekee ya kuwajibu wazalishaji wa ndani kama wao ndio wanapandisha lkn kama ni distributors ndio tatizo, hata tukiruhusu import, bado wataendelea kutupiga. Wapo na huko.Wafanyabiashara wa ndani wanambip Mama, muda si mrefu wataanza kulia na kusaga meno pale bidhaa za nje zitakaporuhusiwa kuingia kwa fujo ili kupunguza ukali wa maisha yetu.
Wapuuzi kama hao ndio wanaifanya JF iwe kama kijiweTunaongelea maswala ya msingi wewe unaingiza mambo ya SUKUMA GANG hivi ni lini tutabadilika na kujadili mambo ya msingi na kuwa kitu kimoja au wewe unasema hayo umeshiba
Ni hatariHuku katavi saruji 25000,
Unga wa ngano 42,000
Mafuta ya kula Lita 10 sh. 50000.
HALI NI TETE KILA UCHAO
Hivi hili ni jina lake rasmi ama ni la utani!Chief Hangaya
Na bado sana. Kazi iendelee!Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/= tofauti na awali ilikuwa tsh 16000/= mwanza kwa sasa bei ya cement sh 23000/= mara msoma tsh 25,000/= , kagera na kigoma tsh 25000/=!
Nishat mafta petrol lita @1 mwanza tsh 2720/=; shinyanga tsh 2640/= kagera na kigoma 2820/= awali mafta yalitapatikana kwa kila lita tsh 1810/= kwa sasa mambo yamebadilika sukar mafta ya kupikia hvohvo bei ipo juu!
Baadhi ya vijana wamesema kwa sasa ni vigumu sana kuwekeza pesa kwenye ujenzi kwan vifaa vya ujenzi vipo juu na maisha kwa ujumla yamekuwa magumu.
Kwa vile MHESHIMIWA RAISI SAMIA SULUHU HASSAN tunaomba tupia jicho kwenye wizara husika hali ni ngumu huku mitaan jua kali pesa hamna
. NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAZI IENDELEEE!
Usingeuliza Sasa anachoongea maana huna interestSijawahi kusikiliza wala kufikiria kusikiliza hotuba za mama kwani huwa anazungumzia nini kwenye hizo hotuba zake?
Wanyonge walikuwepo awamu ya tano. Awamu ya sita mama alitamka wazi kuwa atawajaza watu mapene mifukoni mwao hivyo hii ni awamu ya wenye nazo. Acha kudhalilisha watu.Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/= tofauti na awali ilikuwa tsh 16000/= mwanza kwa sasa bei ya cement sh 23000/= mara msoma tsh 25,000/= , kagera na kigoma tsh 25000/=!
Nishat mafta petrol lita @1 mwanza tsh 2720/=; shinyanga tsh 2640/= kagera na kigoma 2820/= awali mafta yalitapatikana kwa kila lita tsh 1810/= kwa sasa mambo yamebadilika sukar mafta ya kupikia hvohvo bei ipo juu!
Baadhi ya vijana wamesema kwa sasa ni vigumu sana kuwekeza pesa kwenye ujenzi kwan vifaa vya ujenzi vipo juu na maisha kwa ujumla yamekuwa magumu.
Kwa vile MHESHIMIWA RAISI SAMIA SULUHU HASSAN tunaomba tupia jicho kwenye wizara husika hali ni ngumu huku mitaan jua kali pesa hamna
. NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAZI IENDELEEE!
Wa CDM mna unafuu wa bei mkuu!!Kama ulichagua ccm endelea kupambana na hali yako.