Bidhaa zinatotengenezwa kutokana na zao la mkonge

Bidhaa zinatotengenezwa kutokana na zao la mkonge

Wile93

New Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
4
Reaction score
0
Ningependa kuwafahamisha kuhusu bidhaa mbalimbali zinazoweza kutengenezwa kutokana na zao la mkonge lililochakatwa na kutengenezwa nyuzinyuzi (fibres).

Nyuzinyuzi hizi baadae hutengenezwa kamba pamoja na mazulia makubwa.

Miongoni mwa bidhaa hizo zinazoweza kutengenezwa kutokana na mazulia hayo ni pamoja na handbags, begi za kubebea laptop, briefcases, table mats, mazulia ya milangoni (door mats) viti vya kupumzikia pamoja na urembo wa kuweka kwenye samani kama makabati.

Mkoa wa Tanga wameendelea kuwa kinara wa uzalishaji wa bidhaa hizi kutoka kwa kampuni na wajasiriamali Wadogo.

Nimeambatanisha na picha ukipenda kuona na kujifunza.

20220329_100500.jpg
IMG-20190821-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom