Bidhaa zinazolipiwa kodi TRA

Bidhaa zinazolipiwa kodi TRA

madia madia

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
717
Reaction score
701
Wanajamvi salam kwenu.

Naomba kuuliza kuwa je kama nimetumiwa zawadi ya vitu kutoka nje, je napaswa kulipia kodi TRA? Mfano nimetumiwa nguo kadhaa na Viatu, je ni Kiwango gani kinapaswa kulipiwa kodi na Kiwango gani hakipaswi kulipiwa kodi?

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom