Ndugu zangu, biashara ni mawasiliano. Maisha ni kujifunza na mafanikio ni ushirikiano sahihi.
Ninaomba kufahamu, kutoka kwa mtu yeyote mwenye taarifa za bidhaa ambazo zinazalishwa na viwanda vilivyo katika nchi za kiarabu. Bidhaa ambazo ninaweza kusafirisha kuleta Africa ama kupeleka nchi nyingine yoyote duniani.
Mwenye kujua viwango vya ubora wa bidhaa hizo katika soko la kimataifa na kama pia kuna mwenye kujua changamoto ninayoweza kuipata katika kuchukua ama kuuza bidhaa hizo nchi zingine.
Nitashukuru sana wadau kama nitapata taarifa sahihi.
Na kama nchi hizo hazina viwanda, tunaweza kushirikishana pia katika hili na sababu za kukosekana kwa viwanda katika nchi zile kusudi tuongeze maarifa ya nini cha kufanya ili tusije shindwa nasi kujenga viwanda pale tutakapohitaji.
Ahsanteni sana na karibuni.