Bidhaa zinazozalishwa katika nchi za kiarabu

Dasha

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
114
Reaction score
54
Ndugu zangu, biashara ni mawasiliano. Maisha ni kujifunza na mafanikio ni ushirikiano sahihi.

Ninaomba kufahamu, kutoka kwa mtu yeyote mwenye taarifa za bidhaa ambazo zinazalishwa na viwanda vilivyo katika nchi za kiarabu. Bidhaa ambazo ninaweza kusafirisha kuleta Africa ama kupeleka nchi nyingine yoyote duniani.
Mwenye kujua viwango vya ubora wa bidhaa hizo katika soko la kimataifa na kama pia kuna mwenye kujua changamoto ninayoweza kuipata katika kuchukua ama kuuza bidhaa hizo nchi zingine.

Nitashukuru sana wadau kama nitapata taarifa sahihi.

Na kama nchi hizo hazina viwanda, tunaweza kushirikishana pia katika hili na sababu za kukosekana kwa viwanda katika nchi zile kusudi tuongeze maarifa ya nini cha kufanya ili tusije shindwa nasi kujenga viwanda pale tutakapohitaji.

Ahsanteni sana na karibuni.
 
Tende mkuu...!

Ok. Tende ni tamu sana tena ni chakula bora.

Hata mimi ninaungana na mleta mada. Ninahisis hawa jamaa kama wanaviwanda, basi bidhaa zao zitakuwa kiwango cha juu na bei murua na hivyo kuna uwezekano mkubwa wakufanya biashara ikalipa.

Zaidi ya kilimo cha tende, wanatengeneza nini zaidi?

Ahsante Dasha;
 
Last edited by a moderator:
Karibu Dasha !! Karibu tena.. Mkuu unao ubavu wa kutosha.... Maana "You name it" (kuna products za aina nyingi na std. ni nzuri) kasoro Aircraft hawatengenezi !!

KIOO Ahsante mkuu, Tende ni zao lenye kudumu na kuishi mda mrefu na hutumika ktk maakulati mbali mbali ( Jam, Mikate,Cream,Bisckuti,vitafunio,nk) Soko lake kwa mwaka hufikia hadi USD 980m (ndani uarabuni tu) !!
 
Tabby uko sahihi.

Biashara ni taarifa. Ndiyo maana ninaomba wanaojua walete taarifa za uzalishaji wa viwandani kule arabuni. Kama hakuna viwanda kuna kilimo cha tende tu na mafuta, kwa nini iwe hivyo? Tatizo liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Karibu Dasha !! Karibu tena.. Mkuu unao ubavu wa kutosha.... Maana "You name it" (kuna products za aina nyingi na std. ni nzuri) kasoro Aircraft hawatengenezi !!

KIOO Ahsante mkuu, Tende ni zao lenye kudumu na kuishi mda mrefu na hutumika ktk maakulati mbali mbali ( Jam, Mikate,Cream,Bisckuti,vitafunio,nk) Soko lake kwa mwaka hufikia hadi USD 980m (ndani uarabuni tu) !!

Ahsante sana mkuu. Sasa kwa kuanzia, unaweza kuniorodheshea viwanda gani viko huko na vinatengeneza bidhaa gani ambazo zinaweza kukidhi masoko ya ndani na nje?

sitaki ku frustrate market once nikiwatangazia au nikianza kusuply.

Ninaomba sana viwanda vinavyomilikiwa na wenyeji yaana waarabu wenyewe kwa sababu wageni wanaweza kuchakachua
 
Mkuu... nshakuambia Vipo Viwanda from A~Z !! nikivitaja vyote humu JF server yao ita mulfunction hapa JF!!! Wewe niambie mahitaji yako au lengo lako!!
Hadi sasa viwanada vya wenyeji Vinazalisha Products sambamba na products zitokazo nje!!! Na asilimia kubwa bidhaa zao hapa Arabuni huSupply nje na kukidhi demand kwa std. iliyotegemewa!! (hapo kariako baada ya bidhaa za Mchina pili hufuatia za Uarabuni)

KM:-
Petrochemical,Petroproducts
Fertilizers
Motor Oils
Foods
Cosmetics
Medicals
Dairies
Textiles
Marbles
Papers
Plastic material
na vipo vingi ktk light factories.. "just name it "
 
Karibu Dasha !! Karibu tena.. Mkuu unao ubavu wa kutosha.... Maana "You name it" (kuna products za aina nyingi na std. ni nzuri) kasoro Aircraft hawatengenezi !!

KIOO Ahsante mkuu, Tende ni zao lenye kudumu na kuishi mda mrefu na hutumika ktk maakulati mbali mbali ( Jam, Mikate,Cream,Bisckuti,vitafunio,nk) Soko lake kwa mwaka hufikia hadi USD 980m (ndani uarabuni tu) !!

Ama hakika mkuu, swaddaqtah wa barrartah al akhuy.

Ipa nna suala bi nafsiy nahitaji kujuzwa nawe natumai ntakuuliza kupitia binafsi ujumbe (private message) mkuu.

Naruhusiwa al akhuy...?.
 
Last edited by a moderator:
Ama hakika mkuu, swaddaqtah wa barrartah al akhuy.

Ipa nna suala bi nafsiy nahitaji kujuzwa nawe natumai ntakuuliza kupitia binafsi ujumbe (private message) mkuu.

Naruhusiwa al akhuy...?.
Kwa kila la ufakhari kwangu... Tafadhwal mashkura 24/7 !!
3ala 3eyn wa Rass !!
Dasha uwe shahidi eeeh!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kila la ufakhari kwangu... Tafadhwal mashkura 24/7 !!
3ala 3eyn wa Rass !!
Dasha uwe shahidi eeeh!!!

Shukran Wa Shukriyah Wa Shukran Laka Jaziylah al akhiy.

Will check you through mkuu.

Alhamdulillah. Wa Anta Kadhaalik.
 
Last edited by a moderator:
Shukran Wa Shukriyah Wa Shukran Laka Jaziylah al akhiy.

Will check you through mkuu.

Alhamdulillah. Wa Anta Kadhaalik.
Aisaee....., unaongea lugha yakiarabu khaswa!!!

Laa shukur 3ala wajib!! Anta tu'amur wa tudaLaL !!

Ana taht amrak!!
 
Oman kuna cement nzuri sana.. Pia gypsum products zao ni nzuri sana...
 
Back
Top Bottom