Bifu: Don Masha amlipua mzazi mwenzie Dkt. Kumbuka kuhusu matunzo ya mtoto, ajibiwa kwa dharau kuwa aende Ustawi wa Jamii

Bifu: Don Masha amlipua mzazi mwenzie Dkt. Kumbuka kuhusu matunzo ya mtoto, ajibiwa kwa dharau kuwa aende Ustawi wa Jamii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimecheka hadi baas, afu nilijua tyuuuh binamu huu umbea ukiuona lazima uulete huku lol.

Ila bidada nae ana huruma khaaaah hadi kumbuka na mtoto juu hahahahah.
unakula ubuyu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaaa tena, lol
 
Back
Top Bottom