Bifu jipya in town Hamisa Mobeto vs Mange Kimambi.

Bifu jipya in town Hamisa Mobeto vs Mange Kimambi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke kwanza ,maana nilikuwa nawachora tu urafiki wao wa mashaka.

Hivi tangu lini Mange Kimambi akawa na urafiki wa dhati na mtu?? Mange anajenga urafiki na wewe kwa manufaa yake yeye binafsi wakati huo huo anakuchunguza undani wako ili mkigombana tu akuanike.


Sasa tutarajie uchafu mwingi wa Hamisa Mobeto kuanikwa .
Ugomvi wa Mange na Hamisa umeanza kisa blue tick ya Instagram ,Mange kwa muda mrefu amekuwa akilalamika kuwekewa blue tick kwenye account yake lakini anakaushiwa tu wakati huo huo akishuhudia watu wenye followers wachache zaidi yake e.g (100K) wakiwa verified huku yeye akibaki hapo hapo na account yake bila kuwa verified .

Sasa bhana siku chache zilizopita account ya Hamisa ikawekewa blue na Hamisa alivyokuwa mgomvi akaja nduki kwenye account ya Mange kumdhihaki , ebhanaa eeeh unaambiwa Mange aliwaka vibaya sana na akikumbuka alivyokuwa anatumia nguvu nyingi kumpaisha Hamisa lakini mwisho wa siku ameishia kutoswa karoho kanazidi kumuuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo wameshamshtukia siku hizi hawataki kabisa urafiki na Mange Kimambi , wamemfyekelea mbali.

View attachment 917129
Bashite anakutafuta.
 
Daaaah Tanzania [emoji1241] nchi ya viwonder
 
TWAWEZA wanapaswa kurudi mtaani particulary JF kufanya research upya ya kiwango cha utaahira. Hii sasa too much
 
Mtoa mada Makonda anakutafuta kwny ile list ya dudubaya aisee.
 
Back
Top Bottom