Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Haya hayaa dakika chachee tu baada ya mshind wa big brother na pia ni komedian maarufu hapa nchini Tanzania bwana idriss sultan kuandika caption kwa nia ya kumtakia heri ya kuzaliwa mwanamuziki diamond platnumz. Caption hio imemchukiza hamisa mabeto akihisi kasemwa yeye kiasi cha kumtolea mapovu idriss
CAPTION YA IDRISS
MAPOVU YA HAMISA NA JIBU LA IDRISS
CAPTION YA IDRISS
MAPOVU YA HAMISA NA JIBU LA IDRISS