Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Labda akacheze movie akiwa anapakatwa...miradi gani uyo mganga njaaBado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.