Bado hujamjua Idriss wewe.Huyo Idrisa na ushamba ushamba wake alipata mamilion ya pesa akaenda kuyachezea kwenye mbunye nani alimuuliza sasa hivi anaganga njaa sijui clouds or what............ Idrisa ni vizuri kaaa mbali na maisha ya watu yake mwenyewe bado. awaze jinsi ya kutafuta soko la mokasi zake basi mengine waachie akina Soudy unakera
Bado hujamjua Idriss wewe.
Kwanza kuna muvi kadhaa amealikwa akacheze huko US na waigizaji wakubwa wa huko.
Pia ana miradi mingi sana inayomuingizia pesa kwa sasa.
[emoji106]Si kila kitu unatakiwa kujibu, Hamisa Angela's kimya kama hajayaona.
Hujielewi wewe.Aisimamie hiyo miradi tujue moja huko kwenye shosho media anafanya nini na kujibizana wa wanawake wasiomhusu? Anatakwia ajulikana kwa matendo yake sio kwa kumsema Idrisa ananini unatakiwa uone kama tunavyona juice za Azam na mikate na maandazi
Kwani tayari pambano la mieleka hii limeshapangiwa tarehe?