Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Kuna bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz kisa ni wimbo wa Wanjera aliomshirikisha Wema Sepetu katika video yake. Diamond kakasirika kwa nini Dimpoz kamtumia Wema?

Na picha za Dimpoz alizopiga na Wema South Africa walipokua wakirekodi wimbo huo.Inaonekana Dimond bado anampenda sana Wema ila kaenda kwa Zari kupata umaarufu zaidi anatakiwa kutulia kama K4REAL.
 
Hahahaaahaaaaa kumbe??? Na hajaumia roho vizuri jinga yeye.....
 
we nae umezidi una uhakika na unacho kinena???k wako katulia kivipi? Unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? Shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...

wewe team dangote bisha?
 
we nae umezidi una uhakika na UNACHO KINENA???k wako katulia kivipi? unajua maana ya kutulia?;unajua watoto alionao kila kona unawajua mama zao? shabiki maandazi naona unaumuka beseni zima...

kitanda hakiza haramu
 
sijakuuliza kuhusu kitanda...kwanza kitanda hakizai anazaa kiumbe wa kike!!!nmekuuliza unajua maana ya kutulia? then kocha wa team yako katulia? jibu sio kurukaruka kama popcorn

Hapa bongo hakuna msanii aliyetulia kama K 4 REAL
 
Back
Top Bottom