Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

Bifu kali kati ya Ommy Dimpoz na Diamond

Kuna bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz kisa ni wimbo wa Wanjera aliomshirikisha Wema Sepetu katika video yake. Diamond kakasirika kwa nini Dimpoz kamtumia Wema?

Na picha za Dimpoz alizopiga na Wema South Africa walipokua wakirekodi wimbo huo.Inaonekana Dimond bado anampenda sana Wema ila kaenda kwa Zari kupata umaarufu zaidi anatakiwa kutulia kama K4REAL.

Si inatuusu nn kwa mfano? Ww ulivomuacha dem wako aliendelea kukaa ivoivo bila kugegedwa?
 
Sishabikii timu ila yuko bize na songi maviiii song gan ya maana khaaaa we na ye so annoying alaaaa
inakuannoy wewe labda nawe ni ZINGIFURI mie nkisikiliza burudanii raha ndani ya roho
 
Back
Top Bottom