PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..
" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "
Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.
Hana akili.
simtetei Lulu ila nimeina ametoa mfano tu.Mbona lulu alitoa mfano tu
Kama alimtukana hivo basi mjinga sana huyo binti
[emoji116] [emoji116]Post za Lulu ziko wapi
Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.
Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Ohoooo!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Sasa kama huyo mjukuu anatembea na vibabu unategemea ataviheshimu?
Ohoooo!!!Shoga babu vs Lulu
Tusibiri tuone!
Utabiri wangu hapa ushindi lazima uende kwa mjukuu
Ishu iliyo mezani ni jamaa na ushoga na sio mambo ya Kanumba maana Kanumba mwenyewe Ana kesi ya kujibu how come alikuwa anagonga under 18?!
Ok!hujaelewa nini/? le mutuz wanamsingiziaga kwamba ni 60 years old, sio kweli, he is still young and vibrant tena always yupo kwenye full swing, inasemekana he is 25
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.
Visualize hiyo tuhuma... [emoji23][emoji23][emoji23] halafu imagine ingekua wewe unaambiwa unainamishwa.
Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.
Visualize hiyo tuhuma... [emoji23][emoji23][emoji23] halafu imagine ingekua wewe unaambiwa unainamishwa.
Aiseee..huyu jamaa ndo alitaka kupewa ubunge wa EAC kupitia thiethiem...alooo wakati mwingine kumbe wabunge wa thiethiem mnajitoaga akili tu makusudi ila kwa hili la kumpiga chini huyu 'kinda mzee' hapo mliamkakuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.
Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Nimeuliza katajwa uyo anaetaka kuombwa radhi au kaamua kujitaja?huu upuuzi ni sawa na ule wa Jide kumshtaki Captain eti kaambiwa kakojozwa wakati ushahidi haujitoshelezi hapa anatafuta aibu tu.