Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Status
Not open for further replies.
Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..

" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "

Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.

Hana akili.
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati nzuri hakumtaja jina, kwa hiyo hamna kesi hapo. Lulu amkumbuke wakili msomi kabisa, Mh TAL amsaidie kwenye kumhoji mlalamikaji.
 
Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.

Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.
Visualize hiyo tuhuma... [emoji23][emoji23][emoji23] halafu imagine ingekua wewe unaambiwa unainamishwa.
 
hilo swali aulizwe mama lulu(yeye ndio anajua umri halisi wa lulu sio huu wa mitandaoni),na yeye kwann akubali kuchungulia watu wazima wakat ni under 18?
Ishu iliyo mezani ni jamaa na ushoga na sio mambo ya Kanumba maana Kanumba mwenyewe Ana kesi ya kujibu how come alikuwa anagonga under 18?!
 
Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.
Visualize hiyo tuhuma... [emoji23][emoji23][emoji23] halafu imagine ingekua wewe unaambiwa unainamishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu le bebz super mtindiz anadiriki vipi kumtukana king of all social networks.
Atakuwa hajipend you know, anaanzaje kumtukana le gadem akili kubwaz.
Hajui kama le mutuz ni brand ambasador wa asas...
 
Sio mimi maana mie mdada haiwez niuma sana kama nikifikiria angeambiwa hivyo ndugu yangu wa kiume.

Mifano ya hivyo ni kupitiliza mipaka ya heshima.
Akili kubwaaaz lazima apaniki kuambiwa unapumuliwa halafu ukijiangalia una mwili nyumba lazima mtu u-throw tantrums.
Visualize hiyo tuhuma... [emoji23][emoji23][emoji23] halafu imagine ingekua wewe unaambiwa unainamishwa.
 
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
View attachment 471123
Aiseee..huyu jamaa ndo alitaka kupewa ubunge wa EAC kupitia thiethiem...alooo wakati mwingine kumbe wabunge wa thiethiem mnajitoaga akili tu makusudi ila kwa hili la kumpiga chini huyu 'kinda mzee' hapo mliamka
 
Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.

Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau

Mwanao akinyea kiganja huwezi kikata ...hata wewe mkuu kidogo chako au mwanao akikukosea una muignore tu
 
Nimekuquote halafu nikakuita shoga bila kutaja jina ungepotezea au ungepanic kama jibu ulilotoa hapa?
Nimeuliza katajwa uyo anaetaka kuombwa radhi au kaamua kujitaja?huu upuuzi ni sawa na ule wa Jide kumshtaki Captain eti kaambiwa kakojozwa wakati ushahidi haujitoshelezi hapa anatafuta aibu tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom