Bifu kali yafumuka kati ya Man Fongo na Mama Wema

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Kumekuwa na bifu kati ya Man Fongo na mama wema mara baada ya man Fongo kudaiwa kuongea maneno mabaya kuhusu Wema wakiwa wanasafiri kwenda kwenye Fiesta na maneno hayo kutumwa kwa mama Wema na mdau aliyekuwepo kwenye gari
Man Fongo alipigiwa simu na Sudy Brown na kufunguka kuna ugomvi huo, pia mama wema alipigiwa simu na mtangazaji huyo na kumwagika povu na kutukana hasa mara baada ya Sudy Brown kumwambia anampenda yeye na Wema
 
Wanacho Jaribu clouds nikumpandisha juu kwa hali na mali man vyongo.
 
Ingawa kuwa yatima ni shida, Lakini kuwa na .....
 
mim labda sijaelewa kwan man fongo alimsema wema au mama yake? na nilibahatika kumsikia man fongo alikana kusema hayo maneno na pia alijishusha na kumpa heshima sana mama wema kama mzaz wake ila majibu aliyoyatoa yule mama duh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…