chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Kumekuwa na bifu kati ya Man Fongo na mama wema mara baada ya man Fongo kudaiwa kuongea maneno mabaya kuhusu Wema wakiwa wanasafiri kwenda kwenye Fiesta na maneno hayo kutumwa kwa mama Wema na mdau aliyekuwepo kwenye gari
Man Fongo alipigiwa simu na Sudy Brown na kufunguka kuna ugomvi huo, pia mama wema alipigiwa simu na mtangazaji huyo na kumwagika povu na kutukana hasa mara baada ya Sudy Brown kumwambia anampenda yeye na Wema