Bifu kali yafumuka kati ya Man Fongo na Mama Wema

Mama wema ni noma ukimgusa mwanae
 
Hii audio imebidi nicheke tuuu... maana mama mtu mzima anaejielewa hawez kukaa na kujibizana mambo kama hayo huku akijua anarekodiwa. Kweli anatafta kiki
 
Baadhi ya Waafrika tuna shida vichwani.Mapinduzi katika sekta ya mawasiliano mintarafu mitandao ya kijamii,radio na Magazeti kwa wenzetu vinatumika kubadilishana taarifa za kiuchumi,kisayansi,kitafiti na mambo mengine yenye mchango chanya katika jamii lakini Watanzania wao wanatumia mapinduzi hayo ku-promote "sura" zao na "midomo" yao!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dah Sudi Brown kanichekesha sana kwenye interview yake na mama Wema
 
Co lazima ww utoe mawazo yako kweny Jukwaa hili hayo mambo ya uchumi, sayansi na teknolojia nenda Jamii Intelligence huko Kuna manguli wa makolokolo yote korofi ambayo hujawahi kufikiriaga Kama utayajua..
Be humble bro
[emoji40]
 
Yaan huyu mama sijui alikuwa anakula sana matikiti maji utoto wake, siielewi kabisa akili yake naona H2O tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…