leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Kuna watu yaan hawaish kukela Media
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Co lazima ww utoe mawazo yako kweny Jukwaa hili hayo mambo ya uchumi, sayansi na teknolojia nenda Jamii Intelligence huko Kuna manguli wa makolokolo yote korofi ambayo hujawahi kufikiriaga Kama utayajua..Baadhi ya Waafrika tuna shida vichwani.Mapinduzi katika sekta ya mawasiliano mintarafu mitandao ya kijamii,radio na Magazeti kwa wenzetu vinatumika kubadilishana taarifa za kiuchumi,kisayansi,kitafiti na mambo mengine yenye mchango chanya katika jamii lakini Watanzania wao wanatumia mapinduzi hayo ku-promote "sura" zao na "midomo" yao!
Hahahaaha umenichekesha sana haaha keny ndio wanakubali mama kama huyu?atakua mgeni w nani?huddah au mzaziHivi sasa huyu mama tumgawe Kenya
Kwahakika, akawe kivutio huko!Hivi sasa huyu mama tumgawe Kenya