jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
acha jazba kijana anatafuta rizki yake wewe tafuta ya kwakoDiamond hana bifu na huyo mshamba wa tandahimba, huyo mshamba anatafuta attention kupitia Diamond.
Na hakuna yoyote alopotezwa kati hao uliowataja, mshamba muache arukeruke atatulia tu sababu hana cha ajabu.
Hakuna jazba hapa ,tunawaelewesha vijana wasioielewa bongofleva. Riziki haitafutwi kwa matusi aliyoporomosha jana Elements halafu akija kwenye media anajifanya anaonewa.acha jazba kijana anatafuta rizki yake wewe tafuta ya kwako
Mnataka Basata iwasaidieje?Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kumbe konde boy amekutukana?Hakuna jazba hapa ,tunawaelewesha vijana wasioielewa bongofleva. Riziki haitafutwi kwa matusi aliyoporomosha jana Elements halafu akija kwenye media anajifanya anaonewa.
Ndio.mkuu kumbe konde boy amekutukana?
pole kwa kutukanwa na Konde Boy mkuu, amekosea sana endelea kumuonya.Ndio.
Hatofika popote ndio maana anatoa manyimbo hayaeleweki. Kashafulia.pole kwa kutukanwa na Konde Boy mkuu, amekosea sana endelea kumuonya.
mkuu huko elements alisemaje?Hakuna jazba hapa ,tunawaelewesha vijana wasioielewa bongofleva. Riziki haitafutwi kwa matusi aliyoporomosha jana Elements halafu akija kwenye media anajifanya anaonewa.
sawa mkuu endelea kumkanyaHatofika popote ndio maana anatoa manyimbo hayaeleweki. Kashafulia.
Buuuh domo na familia yake nzima wanaharishaDiamond hana bifu na huyo mshamba wa tandahimba, huyo mshamba anatafuta attention kupitia Diamond. Diamond zimeungana taasisi kubwa za media na zimemshindwa itakuwa huyo asiyejua hata kupendekeza.
Na hakuna yoyote alopotezwa kati hao uliowataja watu wamefocus kwenye muziki wao unaongea sio makelele, mshamba muache arukeruke atatulia tu sababu hana cha ajabu.