Bifu kati ya Kondeboy na Diamond limeua mziki wetu BASATA ingilieni kati

Bifu kati ya Kondeboy na Diamond limeua mziki wetu BASATA ingilieni kati

Wewe ndo ungekua Mkuu wa Baraza unaletewa uamulie iyo inshu yako ungefanya/chukua uamuz gani?
Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom