jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
- Thread starter
-
- #21
Juma lokole uyo kakaacha jazba kijana anatafuta rizki yake wewe tafuta ya kwako
Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo
Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvanny usimlinganishe na takataka hiyo ujue anayo BET mjinga na mpumbavu vyoteHuu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo
Sent using Jamii Forums mobile app