muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada iheshimike