MANG'ONYI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 403
- 342
Mbona povu limekutoka sana ulihusika kuharibu nini kwenye hilo zoezi?Wew nae punguza Ushamba na unafiki hivyo vibao vilikuwa vinaandikwa na waandika anuani za makazi au mafundi rangi? Acha kusambaza propaganda za kijinga.
Sensa ni zoezi sensitive sana ndiyo maana serikali imechanganya jobless na watumishi hasa walimu, nia ni njema kuwa na balance ili zoezi lisiharibike.