Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada iheshimike
View attachment 2302613View attachment 2302614
Mkuu umeiweka vizuri mno, acha tu walimu wafanye hii kazi,Hao wanajiita kwamba hawana ajira walipendelewa wakati wa zoezi la anwani za makazi Kuna kitu gani Cha maana kilifanyika?
Walikuwa wanafika site saa 4 wapo careless, hawapendi kutumwa au kufuata maagizo kwa sababu sio uhalisia wa maisha yao
Na hakika hili zoezi kama watumishi wataondolewa kwa kiasi kikubwa wakabaki hawa vijana wa form 4 ambao bado wangali wabichi kwenye kazi nyeti Kama hii, tutakutana tena humu kutupiana vijembe Kama kawaida yetu
Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
Watu wana hasira,ajira ngumu kitaani,walimu wanakaba kona zote 🤣🤣🤣🤣Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada iheshimike
View attachment 2302613View attachment 2302614
Mbona madaktari hawaombi hizo kazi za sensa? Mbona maafisa Tra nao hawaziombi? Mbona madereva hawaziombi? Kwa nn nyie tu?Hahahaha! Iko hivi, mwenye Nacho huongezewa,sasa mtu huna ajira,unataka upewe kishkwambi cha milioni 2,ukikimbia nacho? Alafu,ukiridhika na kukaa,ww ni mjinga wa mwisho,hii dunia ya kibepari,ni kupambana kama hata unacho,tafuta zaidi,kama mtu hunacho ukitegemea kuonewa huruma eti uwachiwe,huo ni ujinga na Uvivu wa kufikiri, mjinga alitumia boom kununua iPhone badala afanye mtaji anatoka huko chuoni bila pesa anakuja kulialia eti walimu wanazibia sensa. Mnaleta ubrazameni na usista duu mtaani. Pumbaf!
Wew nae punguza Ushamba na unafiki hivyo vibao vilikuwa vinaandikwa na waandika anuani za makazi au mafundi rangi? Acha kusambaza propaganda za kijinga.Mkuu umeiweka vizuri mno, acha tu walimu wafanye hii kazi,
Jobless wameharibu sana zoezi la anuani za makazi, Kweli kibao kinaandikwa "BALABALA YA SOKONI LOAD"
Kwanza tuna wanafunzi waliomaliza vyuo vikuu hata kujieleza hawawezi, sasa mtu hata kujieleza kwa kujitambulisha ataweza kuuliza maswali ya dodoso kwa ufasaha kwenye sensa?
Lazima kuwe na mchanganyiko ili kazi ifanyike vizuri.
Labda hawajaomba huko kwenu mkuu.Mbona madaktari hawaombi hizo kazi za sensa? Mbona maafisa Tra nao hawaziombi? Mbona madereva hawaziombi? Kwa nn nyie tu?