Mbona povu limekutoka sana ulihusika kuharibu nini kwenye hilo zoezi?Wew nae punguza Ushamba na unafiki hivyo vibao vilikuwa vinaandikwa na waandika anuani za makazi au mafundi rangi? Acha kusambaza propaganda za kijinga.
Hakuna bifu lolote na haliwezi kuwepo.Mi naona Hakuna bifu lolote sema jf humu ndo tunakuzakuza haya mambo
Jobless na siyo jobles.Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada iheshimike
View attachment 2302613View attachment 2302614
Walimu wana tamaa za kisenge sana, kila kitu wanataka wafakamie tu ndio maana wanaishiaga kugongwa kende hovyo na ma DC. Wao ishu yeyote ya deiwaka lazma washobokee ila zama za shobo zimeisha.Mbona madaktari hawaombi hizo kazi za sensa? Mbona maafisa Tra nao hawaziombi? Mbona madereva hawaziombi? Kwa nn nyie tu?
Khaa unajua vijana na watanzania wengi saana tumefikia pabaya!Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada iheshimike
View attachment 2302613View attachment 2302614
ndo madhara ya kusoma madesa na kushindwa kupata maalifa, kwahyo unaona mwalimu hana haki ya kuomba hzo ajira za mda mfupi, mda mwn mwngne hao jobless hawaaminiki lkn ukikaa kilaumu mwalimu utafkili yeye ndo anaajili utakufa masikiniHapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi
hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa
ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu,
sasaivi kila kitu wanaangushiwa walimu dhihaka zote wanatupiwa walimu
lakini vingine walimu mnasababisga wenyewe kazi za sensa mnataka nyie, kazi za tume ya uchaguzi mnataka nyie kwanini msiwe mnawaachia na wasio na ajira?
uongi mbaya mtaendelea kudharaulika sana
CWT iingilie kati kuiheshimisha hii kada
kuna watu wanahela wanatafuta vjana wapambanaji lkn hao jobless hasa dgree holder ni wavivu sana hvo utaishia kulalamika tu hata hao waajiriwa malalamiko hayaishi kwao na kumbuka mshahara haotoshi hvyo lzna nao wapambanie hzo ajra za mda mfupDuu kweli mambo magumu,
Lakini pesa yenyewe si ni ya mara moja tuu haina muendelezo?
Na pia si wamefanya interview wanasubiri majibu? Chuki ya nini??
Naamini busara itatumika vijana ambao unawaita jobless watapata chance walau wapate mtaji..
Mtaani pagumu
Acha uongoLabda hawajaomba huko kwenu mkuu.
Lakin hapa nilipo kada mbali mbali waliomba vzr kabisa na bahati nzuri Mimi nilikua miongoni mwa wasaili.
Alafu kingine Kuna kazi fulani hawapati muda Kama kada ya ualimu ,mfano hao tra ,madereva hawana muda kulinganisha na walimu, so msipende kuwangushia jumba bovu walimu wakati watu kibao tu walikua wanapigwa maswali kwenye interview ,walikwepo kilimo, afya,elimu plus jobless wa kutosha.
Mtaji kwa kiasi hicho kinachosemekana kuwa 60,000/? Mungu atusaidie.Duu kweli mambo magumu,