Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
well, mkikutana mpe salam zangu. so far since hataki nisalimia, tell her i miss her very very!atakuwa mzima tu, ondoa Shaka may be majukumu yamembana
Bye, naingia kwenye foleni..:car:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well, mkikutana mpe salam zangu. so far since hataki nisalimia, tell her i miss her very very!atakuwa mzima tu, ondoa Shaka may be majukumu yamembana
Dai badala ya kusema stylist akasema designer
Diamond anakua sana kimuziki na katika ukuaji huu wa kimataifa anatakiwa awe na mwanasheria wake. Anaye? Ni muhimu sana kwa hadhi ya Diamond kuwa na mwanasheria (aliyemwajiri) kumshauri mambo mbalimbali kuhusu haki na wajibu wa diamond kimataifa.Tabia yetu wabongo kupenda kuiga vya nje yaweza kuzua mgogoro mkubwa wa kisheria kama ilivyogusiwa hapo juu. Ni kazi ya mwanasheria kumwelimisha na kumtahadharisha boss wake juu ya kuigaiga ovyo vitu vya watu. Kiasi kikubwa namshangaa Diamond kuvaa kimarekani kama hapo juu kwenye picha.Tanzania tuna wabunifu wengi wa vitambaa maridadi vya batik. Ukiingia kariakoo, unapata design nzuri sana ya batik ambayo kwa uhakika ukimpelekea Sheria Ngowi atakutolea mshono hatari wa shati hata koti. Unadesign ki alama chako unakishonea kwenye shati kinakuwa ndo trademark yako.Diamond nini bana kuhangaika na majeans yaliyochanika na shati kama teniti?Mlima wa mabatik kariakoo unamwachia nani? Ndo maana mie namsifiaga sana Mrisho Mpoto kukataa kuiga uvaaji wa kimarekani. Ila tu hajapata designer mzuri!![]()
Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake... roper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future, Meek Mill nk ameandika hivi......
" I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegalwww.shoproperrope.com''.
Mimi namshauri Diamond na wasanii wengine wa kitanzania kuwa makini na kila kitu wanachofanya haswa kuhusu product wanazotumia coz muziki wa Tanzania sasa unapaa mpaka mbali tofauti na wana vyofikiria...Hapa kuna ishu za copyright, maana kosa alilofanya ni kupost na kutoa credit kwa Desgner wake Qboymsafi pengine bila kujua stylist wake ambae kiukweli bado ajafikia level za kuitwa dizaina (bongo dizaina hakuna bado) alikopi na kupesti dizaini ya mtu mwingine. Inaweza kuwa hana kosa lakini kikinuka yeye ndio atakuwa responsible.
Niliona Adam Mchomvu amekuja na dizain yake ya mavazi aniita Adamz Apple, kiukweli ukiangalia ile dizaini ni copy and paste sasa na huu utandawazi usishangae tukafirisiwa watu huku.
Tuwe makini sana..Na Diamond kama akiweza kukuafford uyu mchizi aongee nae biashara jamaa amtengenezee kazi zake aigeuze hii ni opportunity.
Diamond anakua sana kimuziki na katika ukuaji huu wa kimataifa anatakiwa awe na mwanasheria wake. Anaye? Ni muhimu sana kwa hadhi ya Diamond kuwa na mwanasheria (aliyemwajiri) kumshauri mambo mbalimbali kuhusu haki na wajibu wa diamond kimataifa.Tabia yetu wabongo kupenda kuiga vya nje yaweza kuzua mgogoro mkubwa wa kisheria kama ilivyogusiwa hapo juu. Ni kazi ya mwanasheria kumwelimisha na kumtahadharisha boss wake juu ya kuigaiga ovyo vitu vya watu. Kiasi kikubwa namshangaa Diamond kuvaa kimarekani kama hapo juu kwenye picha.Tanzania tuna wabunifu wengi wa vitambaa maridadi vya batik. Ukiingia kariakoo, unapata design nzuri sana ya batik ambayo kwa uhakika ukimpelekea Sheria Ngowi atakutolea mshono hatari wa shati hata koti. Unadesign ki alama chako unakishonea kwenye shati kinakuwa ndo trademark yako.Diamond nini bana kuhangaika na majeans yaliyochanika na shati kama teniti?Mlima wa mabatik kariakoo unamwachia nani? Ndo maana mie namsifiaga sana Mrisho Mpoto kukataa kuiga uvaaji wa kimarekani. Ila tu hajapata designer mzuri!
Hey guys, lets be tanzanians and let the world know it!
Kazi zingine za roperpope

Good mate! Sensible post from a sensible jf member. Thanks for a word on my avatar.Will think it over tonight bro!
- RED- Umeongea kitu cha msingi... nakuunga mkono kwa 100%!
- BLUE - Haiakisi (doesn't reflect) na kilichotokea! Malalamiko ya jamaa sio kwa sababu Diamond amevaa "Kimarekani" kama unavyodai bali Diamond kumtaja Qboy Msafi kama Designer wa ile model! I hope huko kumtaja mwingine (Qboy) kama ndie designer sio ulichomaanisha kwamba ni kuiga!!! Correct me if I am wrong!
- BOLD BLACK- Nchi hii kumtuhumu mtu kwamba anavaa Kimarekani ni kumuonea tu kwenye taifa ambalo halina any dressing code!
- BROWN- Najaribu kuvuta hisia wakati Diamond au mwanamuziki yeyote yule wa aina yake atakapokuwa ndani ya batiki... I think it's brilliant idea and advice especially tunapokuja na suala la BUY TANZANIA and showing appreciation to what we have though am bit disappointed by your avatar!
- LIGHT PINK- Wakati mwingine nahisi tunalazimika kukubali kwamba kila kitu kina identity yake! Mrisho Mpoto anafanya muziki wa asili na hivyo akifanya local dressing code anakuwa amewakilisha sanaa yake moja kwa moja! Hata Tatu Nane, at least jukwaani walikuwa wanavaa kiasili! Saida Karol, angalau jukwaani nae alikuwa anavaa kiasili! Lakini umwambie Jide leo hii avae kiasili jukwaani ni kutaka kumwondolea confidence yake! Ushauri uliotoa hapo kwenye BROWN unatakiwa kufanywa na Designers wetu na sio mtu kama Diamond... the excuse is there, he's not a designer na ndio maana hata kuvaa tu analazimika kuwa na Stylist coz' yeye kama yeye isn't an expert kwenye hilo eneo! Don't say mbona Mrisho Mpoto amefanya wakati na yeye sio designer... kwa staili ya muziki wa Mpoto hata akivaa magunia ya hovyo hovyo yaliyounganishwa kwa kwamba za katani kisha akapanda jukwaani, ataeleweka tu lakini kitu kama hicho akifanya mtu kama Diamond ataambiwa anatafuta kick!!! Hawa designers wetu ndio wanatakiwa ku-translate taste za wasanii wetu/vijana wa kileo kisha watumie materials zetu wenyewe kama hizo batiki na kutengeneza brands ambazo, kwa upande mmoja hazitafuta identity ya muziki wa kileo unaoambatana na aina fulani ya mavazi na upande mwingine zikiwa zimebeba African identity! Hili la identity halikwepeki and I think, I repeat, I think, hatahao akina Marehemu Muhidini Ngurumo, Mbaraka Mwishehe, Marijani Rajabu, sidhani kama walipata kuvaa kama anavyovaa Mrisho Mpoto au Tatunane! I know your concern is to make our locals fabrics into a modern form lakini hiyo ni kazi ya designers unless kama wasanii wenyewe wanakuwa na hiyo karama!
Nakukubali sana Diamond we mkali bongo miaka 100