Bifu la 50 Cent na Floyd Mayweather Jr lafikia pabaya

watoto wamjini hao " wote janja janja tu " hapo " wapigaji hao
 
Waswahili hawa walivyowajinga watachochewa mpaka watapigana risasi biashara iishe.

Huwezi kusikia Pacquiao anafanya huo ujinga, au kina Rooney, Beckham n.k.
 
Nliiangalia season one kile kidem kikali cheusi mumewe drug lord alikuwa anamtaka dereva sijui waliishia wapi

Amu kile kidemu kilitiwa na mwana.....then mwana akaja kuuliwa na mshua ake ambae ni 50 eeeh lete email nikutumie season zote 1-4
 
Amu kile kidemu kilitiwa na mwana.....then mwana akaja kuuliwa na mshua ake ambae ni 50 eeeh lete email nikutumie season zote 1-4
umenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamani
 
Hao ni washkaji usidhani kuna beef hapo, 50 ana promote tv show yake nadhani season mpya imeanza juzi, hao ni wana kabisa
 
Atakushindanisha na kamba ya kiatu chake [emoji23]
 
umenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamani
Huyo akikutumia 1 - 4 uje kwangu uchukue season 5 mpka ilipofikia
 
Tuongelee huduma ya maji safi vijijini pamoja na Giza linalofifisha demokrasia yetu!
 
Story zote umeunganisha toka Instagram lkn yote hawa ni marafiki na wanajua wanachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…