ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mimi bado sijabifu nae.....ngoja tucheki50 Cent ana bifu na kila mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bado sijabifu nae.....ngoja tucheki50 Cent ana bifu na kila mtu
Hela hizi...,akija kwangu sijui atasena no bishane na nini yake jamani...?
Mimi bado sijabifu nae.....ngoja tucheki
Hivi ni yeye kumbeeHiyo picha 50 cent si alijipunguza sababu ya movie ila acha yamkute yeye ndio alianza kumchokoza floyd mayweather
Hivi ni yeye kumbee
Ni yeye jamaniacheni nyinyi kwenye iyo picha no 50 cent kweli
Nliiangalia season one kile kidem kikali cheusi mumewe drug lord alikuwa anamtaka dereva sijui waliishia wapi
umenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamaniAmu kile kidemu kilitiwa na mwana.....then mwana akaja kuuliwa na mshua ake ambae ni 50 eeeh lete email nikutumie season zote 1-4
Kama ww...Kusikia kila mtu usifikiri na makolongwee wamo.
Ila bora 50 kuliko huyu mluguru wetu wa tandale50 ni mzaramo kabisa ana michambo jamaniii
Huyo akikutumia 1 - 4 uje kwangu uchukue season 5 mpka ilipofikiaumenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamani
Ntakuletea Pc unijazie fullHuyo akikutumia 1 - 4 uje kwangu uchukue season 5 mpka ilipofikia