DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Niliona mahali mnajadili uzi wa kupigwa ban. Kumbe hons wa jf wakakukata na wewe. So sorry.Hiyo picha 50 cent si alijipunguza sababu ya movie ila acha yamkute yeye ndio alianza kumchokoza floyd mayweather
Hata mimi nilihisi ni kidemu kumbe kimekula chumvi nyingi si mchezo.Nliiangalia season one kile kidem kikali cheusi mumewe drug lord alikuwa anamtaka dereva sijui waliishia wapi
umenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamani
Tafuta movie yake inaitwa things fall apartHivi ni yeye kumbee