Bifu la 50 Cent na Floyd Mayweather Jr lafikia pabaya

Bifu la 50 Cent na Floyd Mayweather Jr lafikia pabaya

Hiyo picha 50 cent si alijipunguza sababu ya movie ila acha yamkute yeye ndio alianza kumchokoza floyd mayweather
Niliona mahali mnajadili uzi wa kupigwa ban. Kumbe hons wa jf wakakukata na wewe. So sorry.
 
Nliiangalia season one kile kidem kikali cheusi mumewe drug lord alikuwa anamtaka dereva sijui waliishia wapi
Hata mimi nilihisi ni kidemu kumbe kimekula chumvi nyingi si mchezo.
 
umenkumbusha kweli mshua wake alikuwa 50 ila yule dem nae alikuwa na vituko mitego,genye genye ila kazuri,na mumewe akakutana na mwanamke wake wa zamani



Hahahahahahaha yule mzungu walisoma nae adavance........sema ile series wanatiana sana sio ya kuangalia ukiwa peke ako utanyetuka sana
 
Hakuna Bifu hapo, wachache kama mimi ndio tunaelewa nini kinaendelea.
 
ila floyd angetokea kile kipindi cent yupo onfire sijui kama angeweza kutoa jibu la kishenzi ivyo
 
Back
Top Bottom