Pass Master
Member
- Sep 18, 2020
- 94
- 61
- Thread starter
-
- #21
Mond?Usilete masikhara kwenye vitu serious..konde boy ni ntu hatari kibongobongo lakini akiwa huko duniani anatulizwa tu..hakuna mbongo anayeweza kufika level za akina burna,wizkid star boy,davido,rude boy etc hao ni wachawi wa muziki africa,kama unabisha basi baki na ubishi wako
Jamaa sisi tunajaribu yaani tunajitahidi,mondi anajitahidi,yaani anapambana lakini jamaa wanamzidi..hata ukiangalia katika sekta nyingine kama vile michezo au filamu,sisi bado yaani tunajitahiditahidi yaani ki-ubishi ubishi tu,lakini huwezi kupingana na ukweli kwamba sisi bado sana kujipambanisha na wanaijeria,diamond mwenyewe anaelewa hilo..Mond?
Mond alifikisha views bilion 1 huko youtube wao hakuna aliefikia....Tumpongeze piaJamaa sisi tunajaribu yaani tunajitahidi,mondi anajitahidi,yaani anapambana lakini jamaa wanamzidi..hata ukiangalia katika sekta nyingine kama vile michezo au filamu,sisi bado yaani tunajitahiditahidi yaani ki-ubishi ubishi tu,lakini huwezi kupingana na ukweli kwamba sisi bado sana kujipambanisha na wanaijeria,diamond mwenyewe anaelewa hilo..
Kwa hiyo unataka kusema mond ana mashabiki wengi kuliko wizkid??!!Mond alifikisha views bilion 1 huko youtube wao hakuna aliefikia....Tumpongeze pia
Nuff saidKwa hiyo unataka kusema mond ana mashabiki wengi kuliko wizkid??!!
Moja ya sababu diamond kuwa na view nyingi youtube ni kuwa yeye aliwahi kufungua account ya youtube,alifungua mwaka 2011,akina burna,wiz walifungua miaka saba au nane mbele,walifungua mwaka 2018..diamond nampongeza kwa mapambano yake,lakini kusema anawazidi hao wajomba,ndugu huko ni kupingana na ukweli(uhalisia)..davido alikodi ukumbi wa o2 arena wa london,na akaujaza si jambo la kawaida..!!
Kijana wetu tunampenda na tunampongeza lakini hawezi kuwazidi top musician wa naijeria,yeye mwenyewe anazijua hizo namba ni namba za aina gani,na ndo maana kama kweli unafuatilia mziki utaona diamond anatembelea nyendo zao