Kwa hiyo unataka kusema mond ana mashabiki wengi kuliko wizkid??!!
Moja ya sababu diamond kuwa na view nyingi youtube ni kuwa yeye aliwahi kufungua account ya youtube,alifungua mwaka 2011,akina burna,wiz walifungua miaka saba au nane mbele,walifungua mwaka 2018..diamond nampongeza kwa mapambano yake,lakini kusema anawazidi hao wajomba,ndugu huko ni kupingana na ukweli(uhalisia)..davido alikodi ukumbi wa o2 arena wa london,na akaujaza si jambo la kawaida..!!
Kijana wetu tunampenda na tunampongeza lakini hawezi kuwazidi top musician wa naijeria,yeye mwenyewe anazijua hizo namba ni namba za aina gani,na ndo maana kama kweli unafuatilia mziki utaona diamond anatembelea nyendo zao