Clouds media ni janga... tukatae tukubali..
kwa mondi watasubiri sana maana lile ni jeshi la mtu mmojaclouds wana roho mbaya sana.. hasa marehemu .... alikuwa na roho mbaya sana..
sugu ameongea, lady jaydee ameongea, ruby ameongea, diamond ameongea, na wasaniii kibao wamezimwa ndoto zao.... yule baba nahisi ni kuni huko kwa Muumba
Duh, si utani...Wamsikilize Mzee Marijani Rajabu hapa ana ujumbe maridhawa kwao.
Yaani jamaa walitaka wamiliki music industry yote wao.. wamcontrol kila msanii.. matamasha makubwa waandae wao tu, dili zote wapewe wao kwanza.. tuzo za kili wameua wao, bahati kwa sasa mambo yamebadilika, radio sio tena platform yenye nguvu kama zamani enzi hizo unakaa eti unasubiria ngoma fulani itambulishwe muda fulani..clouds wana roho mbaya sana.. hasa marehemu .... alikuwa na roho mbaya sana..
sugu ameongea, lady jaydee ameongea, ruby ameongea, diamond ameongea, na wasaniii kibao wamezimwa ndoto zao.... yule baba nahisi ni kuni huko kwa Muumba
Moja ya sababu itakayo Fanya kuua mziki wetu ni hili la kuamini mziki kwa sasa hautegemei media,siungi mkono media kunyonya wasanii ila hii kampen ya kujiaminisha kuwa media kwa sasa hazina nguvu ktk mziki wetu litakuja kupoteza mziki wetu,Bongoflava bado ni changa sana so bado inahitajika nguvu kubwa ya media kupush,Tukiendelea hivi basi mziki wetu utabaki unaishia humu humu na kubaki tunajivunia views za you tube.Yaani jamaa walitaka wamiliki music industry yote wao.. wamcontrol kila msanii.. matamasha makubwa waandae wao tu, dili zote wapewe wao kwanza.. tuzo za kili wameua wao, bahati kwa sasa mambo yamebadilika, radio sio tena platform yenye nguvu kama zamani enzi hizo unakaa eti unasubiria ngoma fulani itambulishwe muda fulani..
Social media imebadili kila kitu kwa sasa.. jamaa hawana nguvu tena kama zamani na haiwezi jirudia..
Walijitahidi kumtengeneza kiba na kutengeneza bifu na mondi ili wapige hela.. ila mondi alipoamua kusonga kivyake wakamkatia waya matokeo yake jamaa anazidi pepea tu na kiba mwenyewe kwa sasa hana time nao kabisa.. inajibidi wajipange upya tu, mambo ya kuwaimbisha wasanii bure kwenye shows hayapo tena.