Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

Teh teh teh na akijikuna tunamuongezea na bakora.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] anataka arudi kwao akalime Korosho, hawajui wabongo vizuri.
aaaah hajawajua vzr wabongo ngoja kwanza ndo wanamkaribisha town aone magorofa



The the the the,,,,na stan bakora atakua amepat kaz amuwekee bakora zake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hata akimtaja kwani wema ndiye mwenye jina peke yake, kuna majina yamezoeleka hasa ya kiswahili kama siwema, lulu, siwajali, mbaya mtu, nalia, mtimanyongo, siwahiti
 
Kamtaja na mwenyewe ame admit kuwa wamepanga huo WcF kuwa wamseme Wema ili waupe kiki mwimbo wao mpya.

Au na hiyo clip hujaisikia pia, mana mwenzetu una mapenzi na hao Harmonize hadi nyekundu unaiona njano
Wala sio kwamba namtetea kwasababu ya Mapenzi, nilichosema ni kwamba Harmo hakumtaja Wema(kwa kinywa chake) waliomtaja ni Wengine hapo ndio kuna utata
 
Wala sio kwamba namtetea kwasababu ya Mapenzi, nilichosema ni kwamba Harmo hakumtaja Wema(kwa kinywa chake) waliomtaja ni Wengine hapo ndio kuna utata
Kuna show alifanya tanga, alikiimba icho kipande na akamtaja Wema, dogo kakosea.
 
Usiku anakesha miguu anairoweka kwenye maji, asubuhi anaenda kusinzia kwenye pepa.[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nimechekaaaaa nyiee watu sio wazuriii...mwezenu kajielezeaaaa
 
huyu Harmonise ni kidomo domo mno hana tabia za kiume mbona mwenzie Raymond hana maneno ya kishangingi kama yeye?!
Raymond anatafuta kiki kwa kuhama wasafi kwenda kwa kiba
 
Lini na wapi Wema alishamtukana dai au tiffa...Matusi yanatoka kwenye timu zao..Timu Dai wanamtukana Wema na Kina,Timu Wema wanamtukana zari na dai....yaaani fans wao ndo watukanajii wakubwa....
 
huyu Harmonise ni kidomo domo mno hana tabia za kiume mbona mwenzie Raymond hana maneno ya kishangingi kama yeye?!
Raymond anatafuta kiki kwa kuhama wasafi kwenda kwa kiba
 
Aisee... hivi wale wanaotukana kule wajo humu nchini. Siamini kama Wema ana wapambe that much...

wanaume wale wamenishangaza....
 
W E K E N I. . V I D E O .. T U I O N E.
 
Wanawachezea akili, hizo ni tactic za kina Tale. Unakumbuka Ile clip ya Dogo ilivuja kwenye mtandao? Then nn kilitokea wiki baadae?? Ndio mjue sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…