Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

Hebu mwenye hiyo clip haiweke hapa ili tuhukumu vizuri,kama kweli alisema/kuimba hivo hakufanya fair,LAKINI TUSIWE KAMA WALIVYO HAO WANAOITWA "timu wema" WANATUKANA HATA KAMA KITU HAKIPO HIVO. SASA MWENYE HIYO CLIP HAIWEKE TUONDOE MZIZI WA FITINA.

Umekaa.miguu juu unasubir uletewe kalaghabaho!!!!!! Mwambie wolper akuletee
 
Hahahahahah huyo Wema ndio malkia wao huko instagram ana followers million + ila akiitisha party wanakuja watu 50.. Lipstick zake alianza kuuza elfu 50 sasa hivi zimefika elfu 5. Sijui anafaidikaje na hii team huyu Wema. At least Diamond anapata watu wa kumpigia kura na kwenda kwenye shows na Ali Kiba ametumia fursa vizuri sasa anapata wapiga kura na views nyingi.. All in all matusi wote wanatukana huyo Wema anamtukana mpaka mtoto wa Diamond. So sioni tatizo lolote kwa huyo kijana kufanya mwendelezo.

Chuki eeeeee chuki eeeeee.
 
Wala sio kwamba namtetea kwasababu ya Mapenzi, nilichosema ni kwamba Harmo hakumtaja Wema(kwa kinywa chake) waliomtaja ni Wengine hapo ndio kuna utata

Wacha weee, kaanza verse kaachia chorus kwa washkaji. Walijipanga vyema.
 
tifu huko insta,na wabongo kwa ushabiki mandazi hapo shuzi limepata mjambaji.
 
Vinyimbo viwili vitatu ashajiona don mtaani na kutembea na too much used commodities
 
Kusema kweli asili za hizi timu ni kiba, kabla ya kiba Kutoka kulikuwa hamna timu, baada ya jamaa kumtangazia ubaya diamond, haitoshi akaenda kuunganisha nguvu zake na kidoti na wema ndio tim zilipoanza. Wanapiga kampeni za chini chini we dogo akosa baadhi ya tuzo anazo stahili na kama haitoshi wakahamia mtv bahati nzuri dogo akatusia. Baadae ndio ikaanza timu mondi, na peji za instagram zikafunguliwa na wapo wengine na sikia wanasapotiwa na hawa mastaa uhakika ninao. ILA NIKIRUDI KWA HARMONIZE KAKOSEA ishu ya boss wake na wema awaachie wenyewe, alafu hata maneno aliyotoa yana ukakasi masikioni si mazuri. ILA WEMA NA KIBA ndio walianzisha hizi timu wamemponda anasura mbeya, mwanaye mbaya, hajui kuimba etc lkn dogo anazidi kusogea. CHA MSINGI WEMA, KIBA NA MONDI WAO NDIO WAKUVUNJA HIZI TIMU na MONDI AONGEE NA HARMONIZE aombe msamaha. ILA ASILI ZA HIZI TIMU NI KIBA baada ya kumtangazia ubaya na hasira ya WEMA KUACHWA timu hizi zikazaliwa na zinaua sana mziki wetu. Huko nyuma kabla ya kiba kurudi kulikuwa hamna timu hata rotation ya mziki ilikuwa fair ila sasa hivi KIBA au MONDI hata wakitoa nyimbo mbaya itakuwa nzuri, bahati mbaya hizi timu zimezigawanya baadhi ya media na watangazaji a zinsababisha baadhi ya nyimbo zisionekane. Nyimbo kama subira ya kasim mganga, jafarai ft kasim mganga na nyinginezo za mwaka jana hazijapata air time za kutosha ukizitima ni nyimbo kali sana.
Ni vzr kuheshimu mawazo ya mtu atakama kaandika kitu kitakacho kukera hii nimejione kupitia maoni yako pole kijana hao waliokushambulia achana nao wamejaa ubaguzi[emoji35] [emoji35] [emoji35] mijitu mingine bhana
 
Lini na wapi Wema alishamtukana dai au tiffa...Matusi yanatoka kwenye timu zao..Timu Dai wanamtukana Wema na Kina,Timu Wema wanamtukana zari na dai....yaaani fans wao ndo watukanajii wakubwa....
Alimtukana snapchat.
 
Najaribu kujiuliza kuna nini kinachoendelea ktk hili game la music mpaka wasanii waonekane nikama wa 3 au wanne Tz iliyokua fair ktk ili game miaka michache ya nyuma wasanii kibao na song kali Ila Leo nyimbo chache kupewa kick zaidi ya za wasanii wengine.!!!!!???? SOMETHING WRONG SOMEWERE
 
huyo dogo n mjinga w2 cku hz wako bz na pesa kama n mimba abebe na yeye ili 2elewe
 
Back
Top Bottom