Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hehehehehe haeleweki kama sifuri.Nimechekaaaaa nyiee watu sio wazuriii...mwezenu kajielezeaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehehe haeleweki kama sifuri.Nimechekaaaaa nyiee watu sio wazuriii...mwezenu kajielezeaaaa
Hebu mwenye hiyo clip haiweke hapa ili tuhukumu vizuri,kama kweli alisema/kuimba hivo hakufanya fair,LAKINI TUSIWE KAMA WALIVYO HAO WANAOITWA "timu wema" WANATUKANA HATA KAMA KITU HAKIPO HIVO. SASA MWENYE HIYO CLIP HAIWEKE TUONDOE MZIZI WA FITINA.
Hahahahahah huyo Wema ndio malkia wao huko instagram ana followers million + ila akiitisha party wanakuja watu 50.. Lipstick zake alianza kuuza elfu 50 sasa hivi zimefika elfu 5. Sijui anafaidikaje na hii team huyu Wema. At least Diamond anapata watu wa kumpigia kura na kwenda kwenye shows na Ali Kiba ametumia fursa vizuri sasa anapata wapiga kura na views nyingi.. All in all matusi wote wanatukana huyo Wema anamtukana mpaka mtoto wa Diamond. So sioni tatizo lolote kwa huyo kijana kufanya mwendelezo.
Kuna mtu amesema hapo juu, Harmonizer atawajua wabongo wakati nae ni mbongo, awajue Mara ngapi.Mimi na wewe na yule na wale.
Vipi wewe umeiona ........... kwahiyo Wolper ndio kaizuia isiwekwe ?????Umekaa.miguu juu unasubir uletewe kalaghabaho!!!!!! Mwambie wolper akuletee
Wala sio kwamba namtetea kwasababu ya Mapenzi, nilichosema ni kwamba Harmo hakumtaja Wema(kwa kinywa chake) waliomtaja ni Wengine hapo ndio kuna utata
Vipi wewe umeiona ........... kwahiyo Wolper ndio kaizuia isiwekwe ?????
Itakua hujui jinsi ya kucheza na lugha yakhee.Kuna mtu amesema hapo juu, Harmonizer atawajua wabongo wakati nae ni mbongo, awajue Mara ngapi.
Inawezekana ikawa hivyo.Itakua hujui jinsi ya kucheza na lugha yakhee.
Poa, iweke fasta.Subiri baba tutakuletea mezani uione. Au chiyo nchomba nchumali.
Wee mbona mkorofi? mwangalie kwanza!Itakua hujui jinsi ya kucheza na lugha yakhee.
Teh teh teh.Wee mbona mkorofi? mwangalie kwanza!
Ni vzr kuheshimu mawazo ya mtu atakama kaandika kitu kitakacho kukera hii nimejione kupitia maoni yako pole kijana hao waliokushambulia achana nao wamejaa ubaguzi[emoji35] [emoji35] [emoji35] mijitu mingine bhanaKusema kweli asili za hizi timu ni kiba, kabla ya kiba Kutoka kulikuwa hamna timu, baada ya jamaa kumtangazia ubaya diamond, haitoshi akaenda kuunganisha nguvu zake na kidoti na wema ndio tim zilipoanza. Wanapiga kampeni za chini chini we dogo akosa baadhi ya tuzo anazo stahili na kama haitoshi wakahamia mtv bahati nzuri dogo akatusia. Baadae ndio ikaanza timu mondi, na peji za instagram zikafunguliwa na wapo wengine na sikia wanasapotiwa na hawa mastaa uhakika ninao. ILA NIKIRUDI KWA HARMONIZE KAKOSEA ishu ya boss wake na wema awaachie wenyewe, alafu hata maneno aliyotoa yana ukakasi masikioni si mazuri. ILA WEMA NA KIBA ndio walianzisha hizi timu wamemponda anasura mbeya, mwanaye mbaya, hajui kuimba etc lkn dogo anazidi kusogea. CHA MSINGI WEMA, KIBA NA MONDI WAO NDIO WAKUVUNJA HIZI TIMU na MONDI AONGEE NA HARMONIZE aombe msamaha. ILA ASILI ZA HIZI TIMU NI KIBA baada ya kumtangazia ubaya na hasira ya WEMA KUACHWA timu hizi zikazaliwa na zinaua sana mziki wetu. Huko nyuma kabla ya kiba kurudi kulikuwa hamna timu hata rotation ya mziki ilikuwa fair ila sasa hivi KIBA au MONDI hata wakitoa nyimbo mbaya itakuwa nzuri, bahati mbaya hizi timu zimezigawanya baadhi ya media na watangazaji a zinsababisha baadhi ya nyimbo zisionekane. Nyimbo kama subira ya kasim mganga, jafarai ft kasim mganga na nyinginezo za mwaka jana hazijapata air time za kutosha ukizitima ni nyimbo kali sana.
Alimtukana snapchat.Lini na wapi Wema alishamtukana dai au tiffa...Matusi yanatoka kwenye timu zao..Timu Dai wanamtukana Wema na Kina,Timu Wema wanamtukana zari na dai....yaaani fans wao ndo watukanajii wakubwa....
YhooooRaymond anatafuta kiki kwa kuhama wasafi kwenda kwa kiba